@ReganTesla_ Oy kuna sku nlifikia ad kulal kwenye rel tren inipitie au ninywe sumu ya mamba nife kimyakimya nikajitenga had n marafik nikakaa mwenyew apo ndio mawazo yalizd _amin muda ulivokua unaenda ndio majibu ya tatzo langu ndio yalikua yanaisha _uvumilv na subra ni mwamuz mzuri
@WideEdson Oya hii nchi usimwamin mtu yyte ..kuna chinga alikua anapita mitaa flan kila mara na mizigo yake akifika nakula na stor kdgo kumbe chinga sio chinga ni spy ...mara paa namkuta one day namkuta kitengo