Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Kitukuu cha Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere wakati alipomtembelea Mama Maria Nyerere kumjulia hali nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Desemba, 2021.
🚨 We're excited to announce that WHG is sending a delegation to UNGA 79 & the Summit of the Future! 🌍
We're championing Universal Health Coverage & gender-responsive health systems. Stay tuned for updates as we take on New York! #UNGA#UHC#GenderEquality#WomenInLeadership
🌍 WGH is excited to highlight Dr. Shubha Nagesh (@snagesh2) at #UNGA79, raising her voice for women in global health! Read her story and vision for change.
👉 https://t.co/713mzgub0h
#GenderEquality#UHC#HealthForAll
Wanaua na kuzika sio kulinda Raia na Mali zao @tanpol mna watoto na wazazi na ndugu hizi hekaheka mnatakiwa mzimalize bila kukatisha uhai wa mtu ingawa kwenye kutii sheria bila shuruti mmeamua kuua kwa kupiga na kuzika kwa gharama ya walipa kodi ili kupoteza ushahidi
‼️POLICE BRUTALITY - BUNDA‼️
#NoJusticeNoPeace#Tanzania
Polisi wa Lalago Sub station kesi yenu imetufikia kwa mauaji ya Baraka Makongolo ambaye askari wenu alimpiga hadi kupelekea kifo chake wakati hadi pesa mlishapewa na ndugu kijana atoke
Mkamnyima hata PF3 ya matibabu!
Makatili sana ninyi
Na Kenan Kihongosi unajua kila kitu!
IGP usipowajibisha na kuwajibika ujue nyie ndo mnachafua hali ya hewa!
#JusticeForBaraka
Lazima haki itendeke na wahusika wawajibike!
#TutaelewanaTu
#Jasusi ameunganisha clips tatu za hotuba ya Mheshimiwa @freemanmbowetz hapo jana. Mpende au mchukie lakini Mheshimiwa Mbowe ni mzalendo ambaye amewapigania Watanzania kwa nguvu zake zote, ila tu Watanzania wenyewe wengi wao ndo watu wa ovyo tena wasio na shukrani. Historia itamuenzi Mheshimiwa Mbowe ambaye pia ameumizwa mno na wadhalimu wakati wa harakati zake za kuwapigania Watanzania.
Jasusi atashukuru uki-comment kwa emoji 👏 na kum-tag Mheshimiwa Mbowe. Ni kidogo tunachoweza kumpa kama asante zetu kwake.
.l
https://t.co/8ZNBlglQcJ
@MwananchiNews Kwahiyo asingeagiza ndugu zetu na Wanachi walipa kodi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wangeendelea kuteseka ukiwa kiongozi unakuwa kiongozi wa wote na sio kwa wale wanaokupigia makofi na kukupongeza
Tulipo sipo na Tuendako siko.Tunahitaji muafaka wa Kitaifa kuondoka katika Mkwamo huu.Huu ni wakati wa Hekima na Busara kufanya kazi yake.
Hatuwezi kuendelea kufagilia uchafu chini ya Kapeti na kudanganya dhamiri zetu kwamba Nyumba yetu ni Safi. Ukifuka Moshi jua Pana Moto.
Wamethibitisha kuwa wanaweza kukutengenezea mazingira ufe waje kuhani msibani na kutoa rambirambi na kilio kuliko ndugu na wazazi wa marehemu
Utu wa viongozi wetu umebakia kwenye kumridhisha aliyewateua kuliko waliowachagua
Aibu:
Serikali yetu hii ya 🇹🇿 kweli inawanyima wananchi HUDUMA za KIJAMII kama Afya, Shule, haki ya kutumia barabara, haki ya kupiga kura na ilikuwa inona ni SAWA tu!
Kuna watu WAJIUZULU!
Nina hasira sana! 😡
Yupo mate mbezi ya Royal Tour anapata picha ya kuweka Status baadae
Maasai stood for what they believed it's their rights despite the Royal Visit and Bongo Movie scene played
🙄🙄
Politician and human rights violator Makonda being childish!
What’s the use pretending to be a Maasai and trying to blend in?
Ila mi bora sikuwepo hapo maana ningemchoma kidogo na mkuki hapo derriere 😅 kama kansindano - chwii! Finyaaa! 💉
Akishtuka unamwambia kakalia mwiba 😂
Eniwei utoto na usanii kama huu kwa kiongozi ni aibu
#TutaelewanaTu
#StopMaasaiEviction
#IStandWithMaasai#StopMaasaiEviction
The Citizen of Tanzania and the World has witnessed the struggle for basic need for our fellow Tanzania's in #Ngorongoro despite being the right as to the URT Constitution yet they were denied
‼️SAMIA CAVES IN ✊🏽‼️
#Tanzania#Ngorongoro
After years of denying the Maasai community basic social services like health, education and water, today she sent ministers to say that she has ordered for the social services to be returned!
The Maasai community say “seeing is believing” - they remain skeptical
But @SuluhuSamia has lost face BIG TIME after arrongantly ignoring the pleas of the People! Any attempt to backpedal on this will draw more fire 🔥
God bless the Maasai people of Ngorongoro 🙏🏽
We are not celebrating yet though!
“It’s not over yet til the Fat Lady sings” 😅
#IStandWithMaasai #StopMaasaiEviction
Kwa amri ya Amirijeshi mkuu @tanpol wamekuwa wauaji na Wakuu wa Mikoa na Wilaya wamekuwa wazikaji na watibuji wa watanzania wenzetu kwa uwazi na kwa kusimamia kuwalinda wale wanaohusika na matendo haya
😭😭Alafu anatuita mbwa wapumbavu!
@SuluhuSamia nakueleza damu ya mtu haiendi bure!
tutukane ila usituue, usituteke!
Sasa unatuua, unatuteka unatunyang'anya ardhi alafu unataka tukae kimya?
We tutukane tu ila tutabwekaaaaa
#TutaelewanaTu
#VIDEO Kijana Meshack Daudi Paka mwenye umri wa miaka 21 amefariki kutokana na kupigwa risasi wakati Polisi wakiwatawanya Wananchi waliofanya maandamano huko Lamadi Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, kuishinikiza Serikali ya Mkoa kuingilia kati na kutafuta suluhisho la matukio yaliyojitokeza mara kwa mara ya Watoto kutekwa au kupotea ambayo waliwalaumu Polisi kutochukua hatua za kuridhisha kukabiliana nayo.
@AyoTV_ imefika hadi msibani nyumbani kwao na kuzungumza na Wazazi wake ambao wamesema Mtoto wao alikuwa msaada mkubwa kwa familia hiyo na alifaulu vizuri kwa kupata ‘division one’ kwenye mtihani wa kidato cha sita na sasa alikua akijiandaa kujiunga na elimu ya Chuo Kikuu.
Mama mzazi wa Meshack ameiambia AyoTV kuwa Mtoto wake alikuwa msaada wa kazi mbalimbali ikiwemo kumfyatulia tofali “Mwanangu alikuwa ananifyatulia tofali hizo mnaziona hapo nje, aliniacha naandaa chakula akasema Mama andaa chakula nitarudi kula, baadae nikafuatwa na Binti mmoja tunasali nae Kanisani akiniambia Mama Meshack, Meshack amepigwa risasi nikaenda nikakutana nao wamembeba Mwanangu kwenye toroli”
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenan Kihongosi amenukuliwa akiyasema haya mbele ya Waandishi wa Habari leo ——> “Jana katika Mkoa wetu tulipata changamoto Wananchi walifanya maandamano baada ya Watoto wawili kupotea, Wananchi jana waliandamana wakati uchunguzi ukiwa unaendelea wakafunga barabara, vurugu zikaendelea kwa kurusha mawe kwa vyombo vya usafiri hali ambayo ilikua inahatarisha pia usalama wa Wasafiri jambo ambalo liliwalazimu Polisi kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia lakini haikuweza kusaidia mwisho wa siku Polisi likawajeruhi Wananchi wanne ambao watatu walikuwa Majeruhi ilipofika majira ya saa mbili tukapata taarifa kwamba kuna Mwananchi mmoja amefariki tukawasiliana na Jeshi la Polisi na tukathibitisha ni kweli” #MillardAyoUPDATES
@PMadeleka Wanaua na kuzika mfano wa mambo ya gizani tumeyaona waziwazi SIMUYU wameua na kuzika na wanawatibu waliowapiga risasi unatarajia nini kingine