@Roma_Mkatoliki Sidhan kama hakuna mtu ambae hatak mabadiliko ila njoon na plan ambayo hata mtu mwenye akil anaweza kutoka nyumban akasema naenda kudai mabadiliko ila kama plan ni ile ile ya juzi bas hatupo njia sahihi ya kupata hayo mabadiliko
@IdrisSultan Watu siku hizi hawaulizi direct wanazunguka ili mwisho wake ukiona wanakosea situation haikuwa hvy ujielezee na hapo utakuwa umejibu maswal yao
@Geoffrey87Lea Makosa yapo next season tuangalie sehemu za kuimprove hata yanga pia diara amefanya makosa ila kule mbele walikuwa na watu ambao wapo vizur kwenye kumalizia nafasi