@Hon_KibayasiF Pombe ina madhara ila kama ndo ingekuwa hivi, Kilimanjaro kwetu kule wazee wote wangekuwa kwenye dialysis. Badala yake, ni miongoni mwa mikoa yenye wazee wenye umri mkubwa na wanywaji hapa nchini.
There is more than that to this story.
Sio kwa ubaya kama uliaminishwa kuwa TIA, NIT, IFM, CuOM, DIT, RUCU, CBE na ZAYONI sio vyuo vya wewe PCB kusoma amini kuwa huu ndio wakati utavililia🙌🏿
Vijana wengi hawana second option. Mimi niliwahi jisemea kama sio udaktari basi ningesoma ualimu✅
-HAMPENDI UKWELI NYIE😂🫵🏿
Huko Medical School unaambiwa ni zaidi ya Jeshi. 😂
Ni sehemu unafunzwa nidhamu, kujitegemea, ku-interact na kila mtu, ku-handle mood za watu, kuvumilia matokeo hasi, kufikiria haraka na kutatua changamoto ngumu.
NB: Sitwezi wala kudogosha professional zingine.
Jamuhuri imejichanganya kwa kumshitaki lisu kwa Uhaini huku ikitumia maneno ya Lissu kuwa “TUTAFANYA UASI” kama ushaidi kwa kesi ya Uhaini
UASI na UHAINI ni vitu viwili tofauti katika jicho la sheria
Uasi (revolt) ni KUIPINGA serikali
Uhaini (Treason) ni KUISALITI nchi
Note, Nchi si Serikali na Serikali si Nchi
Leo, imekuwa dhahiri kabisa kuwa, Jamuhuri ilikuwa ikiendesha kesi hii kwa danadana za kuiba muda jambo lililozidi kumtesa Lissu mahabusu.
Jamuhuri ilikuwa ikifanya hivi kwa kupeleka mahakamani shahidi mmoja mmoja kila kesi ilipoitwa na saa nyingine Lisu alikuwa anamaliza cross- examination na mashaidi hao saa 5 mchana muda wa kazi wa mahakama ukiwa bado ukitosha kwa shaidi mwingine kupandishwa kutoa ushaidi ili kuokoa muda na mateso ya Lissu.
Lissu akalikemea hili vikali mbele ya majaji na kuwaambia waziwazi kuwa jamuhuri inaidharau mahakama kwa kuwa inajua haina cha kuwafanya.
Ijumaa Jamuhuri ilitoa sababu ya kutomfikisha shaid wao mahakamani kuwa alipatwa na dharula ya kiafya.
“Pontius Pilates” wakaishia tu kubung’aa kama wanasoma talaka(Namuomba Mungu, huu mwandiko wangu usipate uzito wa contempt of court)
Anyway, Jamuhuri ikaiomba mahakama kuwa leo itamfikisha shaidi huyo pamoja na mashaidi wengine wote waliobaki
Leo kwa shambulio la ghafla, Jamuhuri ikatangaza kuwa haina shaidi mwingine yeyote wa ziada bali ilikuwa ni “danganya toto kula kunde mbichi”
Badala yake Jamuhuri ikaeleza kuwa imefunga ushaidi wake lakini kwa guilty conscience ya njia ya Golgota waliyompitisha Lissu, kimaaajabu kabisa katika historia ya criminal proceedings, jamuhuri ikataka kuwahi stand bila nauli
Eti kwa ushaidi wake iliyowasilisha mahakamani ni kama inaona isijielekezee shingo yake kwenye ala ya motion ya prima facie case
Technically ni kama State Attorney alitaka kukwapua majukumu ya DPP ya “Nolle prosequi” yaani kesi iishie hewani bila Lissu kujitetea then kungepatikana political leverage ya jinsi Gavoo ilivyo sikivu na huruma kwa Toto Tundu na pia inakuwa imereconcile na ultimatum ya international community.
Toto Tundu ni Kama akalishitukia bao la mkono alilotaka kufungwa.
Lissu akaja juu kuwa wa kuongelea hoja ya prima facie case ni yeye na hataki mpira kwa kwapani.
Kuwa haiwezekani umshitaki, upeleke mashaidi kisha wewe mwenyewe ndio uwe una hoja ya kuona mshtakiwa ana kesi ya kujibu au kutojibu.
Lissu akaurudisha mpita ulingoni kwa kifungu cha sheria No 312(1)
Akasema yeye ndiye master of ceremony wa kuwaambia majaji kuwa kwa utopolo uliojazwa mahakamani hana kesi ya kujibu
Yaani ni kama Lissu analazimisha iwe on record kuwa hana kesi ya kujibu sio kwa hisani, bali on merit ili atokee kwenye milango ya Ukonga na sio Tungu
Sasa mpira Lissu keshaurudisha dimbani. Naamini mpaka tarehe 21 kutakuwa na simu chache kati ya pale jirani na Kipunguni A, Pale jirani na ofisi ya taifa ya Takwimu, na pale panaponuka shombo la samaki vibua wakijaribu kutumia “residual/ filtrate” best in their possession kuona wanafunikaje pale manyu mwa kuku mbele ya huu upepo mkali?
Great afternoon Daughters and Sons of the abattoir
Scout aliyemuona
Aliyetoa ushauri asajiliwe
Aliyeenda kufanya mazunguzo ya kumnunua
Aliyetoa hela ya kumsajili
Dereva aliyembeba kumleta ofisini kusain
Dalali aliyemtafutia pa kukaa
Mwenye nyumba aliyompangisha
Kinyozi wake
Anayekaa pembeni yake kwenye ndege
WOTE FUKUZA.
MeTL Group ni kampuni ya familia (family-owned business). Ilianzishwa kama biashara ya familia na Gulamabbas Dewji katika miaka ya 1970, na baadaye ikapanuliwa kwa kiwango kikubwa na mwanawe Mohammed Dewji (Mo Dewji).
Kampuni inamilikiwa na familia ya Dewji na si kampuni iliyoorodheshwa kwenye soko la hisa (stock exchange).
Mo Dewji ni Rais na CEO wa MeTL Group.
Baba yake, Gulamabbas Dewji, amewahi kuwa Mwenyekiti wa kampuni.
Baadhi ya ndugu zake pia wamewahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya kampuni.
Mohammed hamzidi pesa Ronaldo
Natamani nikupake shaft nikuchape makofi🙁🫵
Siku tutakayokufa, hatutaitwa tena kwa majina yetu. Watasema, “Leteni mwili” au “Shusheni mwili kaburini.” Jina hubaki nyuma. Hivyo, tuishi kutafuta ridhaa ya Muumba, si sifa na makofi ya viumbe.