@TichaMandevu Hiyo mashine apo mkipukuchua kwa masaa matatu masikio yanakuwa na tone Moja tu ๐๐ mtu anaweza kukutukana ukaitikia ukidhani ni salamu
@Kil0voltI Naweza sema tuoe kwa sababu yote hayo nimeyaweza kwa sababu ya huyu ozalima wangu yeye anasimamia biashara Mimi Niko na Kazi na yeye ndo anakaa dukani Mimi nikija ni kumanage tu kwenye Baki ya faida ya biashara tumeamua kujenga kwanza tukimaliza kujenga tutaextend business
@Kil0voltI Nalipwa 700,000
Kodi 150,000
Maji 5,000
Umeme 15,000
Chakula 210,000 (7,000 per day)
Nauli 60,000
Bundle 20,000
Saving 170,000
Zaka 70,000
Nilichukua mkopo wa 10M nafanya biashara inaingiza 900k-1.5M kwa mwezi marejesho ya mkopo yanatoka kwenye faida ya biashara NB tuoe
@FanuelIddy@BesteNicolas Hawa pesaX Nina kama 1M Yao ๐๐ yaan kama wamesajiliwa taarifa zangu zipo ni mdaiwa sugu sitakaa nipate mkopo bank yoyote Ile ๐๐
@jsm000x@kabaisa_jr@prossoff Kadi ninayo na mwaka 2023 kuna mshikaji alipata ajali nikapeleka kadi yangu kuonyesha yule ni ndugu yangu na Mimi ni mchangiaji damu hakulipia damu hata sent mbovu Wala kuambiwa aite ndugu watoe damu
Me ni mchangiaji damu Toka 2018 Kila mwaka lazima
@kabaisa_jr@prossoff Ndio inaweza kuwa sababu na Mimi nilikuwa ivo ivo mpaka nikaambiwa ni damu nyingi sikuhizi Kila mwaka lazima nitoe na sijawah umwa kichwa kbsa since then
Akatoe hospital apewe kadi ya uanachama inasaidia siku akiwa anahitaji damu hospital
@TBoundBuses Hizi GTA upande kipindi Cha low season utajuta unatoka mza 6:00am unafika kigoma saa nne usiku
Kama daladala humo njiani mamae sitarudia kosa