Nitaongoza CHASO kudai mabadiliko bila uoga ili kupata uhuru wa kweli katika taifa. Vijana tunachokipambania leo ni kwa ajili ya kesho njema kwetu na taifa tusichoke kupambana ,Naombeni kura zenu nikaendeleze mapambano. @DarChaso@ChasoDit@bavicha_taifa#NoReformsNoElection
Anaitwa BEN MPORIPORI huyu ndio anahusika na UTEKAJI unaoendeshwa na MAFWELE.
Huyu pia anafanya kazi kama MSAIDIZI WA @ummymwalimu
HUYU ANATUMIKA KUPOTEZA WAKOSOAJI WA SERIKALI.
MKUMBUKENI KWA SURA HUYU KIBAKA.
Story yangu ya KUTEKWA haiwezi kukamilika bila kulitaja jila lake maana X nzima ni mashahidi wa TWEET zake.
Huyu KUMA anaona kama yeye ataishi MILELE hapa chini ya JUA.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
The world is watching & the world is listening. Each voice matters, your voice matters, every life matters and every human has rights. Long live democracy everywhere. God bless us all.
@TanzaniaOneJezi@Kiganyi_ Pia Makada wa CCM wanasurubiwa hadi kwenye Biashara zao.Hata iweje ili kulinda biashara zao mdomo lazima utafungwa. Akileta maelezo sana anafinywa kwa kigezo cha kumsumbua mwenyekiti wa chama na ndio Rais.
@NKikala41540@VitusNkuna Safi sana! Inaonekana hawa watu wangemsumbua sana Lissu. Njia ya kujivua uanachama imesaidia sana kuliko chama kingewavua wao. Wacha wakapate changamoto za ujenzi wa chama kwingine.
@VitusNkuna Aliyekuambia hali si nzuri ni nani?chadema imepata hali nzuri kuwahi kutokea,tumepata utawala Safi usio uza raia wake je jameni ni Safi au mbaya?
Powerfully said. We will not stop fighting for justice, and we are grateful to the @idualliance for putting our case in the global spotlight. #iStandWithTunduLissu
@immaMtanganyika@freemanmbowetz@ChademaTZ2@TunduALissu Inawezekana ni AIBU au CHUKI, ukweli anaujua mwenyewe. Chama kinaendeleza shughuli zake. Kuondoka kwa G55 si kitu kigeni kwa Chadema.Mengine ni dhamira na imani yake kwa Mungu inavomuongoza kwa jinsi walivoheshimiana na Lissu.
Viongozi wa @dua_africa wakiongozwa na Mkt @AttaLouisa na Makamu Mkt Kanda ya Africa Mashariki @DeoMunishi wakiwa kwenye mkutano wa @idualliance Jijini Brusseles, Ubelgiji walikowasilisha ujumbe wa kutaka kuachiwa huru Mkt wa chama Mh Tundu Lissu bila mashati yoyote.
As a student of @patric_ph , I think CDM should continue pushing harder for #NoElectoralReformNoElection . As the Lord’s work continues in rejuvenating CDM by pruning the weeds, in 5 years to come they will first earn public sympathy as it is the only major political card for opposition parties that are in countries like Tanzania.
Second, there will be a huge conflict in CCM on their way to decide who will be the flag bearer of the party come 2030. This will then at some point create a political environment that can easily accommodate best politicians regardless of whether they are in CCM or not.
Third, the generation shift that has started will at least be matured. Generation Z and Alpha will be now be active in the streets. Although they seem not to be interested in politics as they have been deliberately exposed to UDAKU, SIMBA NA YANGA, UCHAWA, but the hardships due to lack of employment and good environment for small businesses will force them to now start demand for change.
These two generations unlikely millennials ,have been luck to get free education, they can reason, they can easily access information, and they are characterized on being against status quo’s. So to whoever that will be agitating for change, will align with their thinking and automatically be their favorite.
TAL has to continue pushing for again straight 4 years regardless of whether CDM will be on ballot papers this year or not. The future is promising, and will massively reward him.
"The arrest of the Honourable @TunduALissu the leader of Tanzania's main opposition party (CHADEMA) is not just an attack on one person, but it is an assault of the principles of freedom, justice and rule of law"- Democracy union of Africa (DUA) @dua_africa#IDUForum2025 #IstandWithTunduLissu
#FreeTunduLissu
VIDEO:
Viongozi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameamua kujivua uanachama wa chama hicho kwa kile walichokieleza kutopendezwa na mwenendo uliopo chamani kwa sasa ambao wameeleza kuwa umesababishwa na uongozi uliopo madarakani.
Viongozi hao ambao ni Masanja Katambi, Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Magharibi; Sifa Gadafi, aliyekuwa Katibu Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Mkoa wa Katavi, na Hamisa Korongo; aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa Baraza la Wazee CHADEMA (BAZECHA) Mkoa wa Katavi.
Wakizungumza na wanahabari siku ya Alhamisi Mei 15, 2025, viongozi hao wamesema katika chama kumekuwa na misimamo mikali isiyo na tija kwa siasa za Tanzania huku wakieleza kuwa hatua ya viongozi wa chama hicho kushinikiza kuzuia uchaguzi ni kuwanyima Watanzania haki yao ya kupiga na kupigiwa kura.