TUNDU LISSU Gharama Aliyoilipa Kwa Ajili Ya UHURU Wa Pili Wa Taifa Hili Ni Kubwa Mno. September 7, 2017 LISSU Alipigwa Risasi 34 Na Risasi 16 Zikaingia Mwilini Mwake. Amefanyiwa Operation Zaidi Ya 25 Kutibu Majeraha Ya Risasi Na Amebakiwa Na Risasi Moja Mwilini Mwake Hiyo Ataishi Nayo Mpaka MUNGU Atapomchukua.
Kwenye Utawala Wa Rais JOHN POMBE MAGUFULI Asilimia Kubwa Ya Watu Waliufyata Mkia Kumkosoa Lakini Ni Watu Wachache Sana Ndani Ya Tanzania Hii Waliothubutu Kumkosoa Vikali MAGUFULI Na Miongoni Mwa Watu Hao Namba Moja Ni TUNDU ANTHIPAS MUGHWAI LISSU Huyu Mwamba Alinyooka Na Magufuli Kiulalo Ulalo Chini Ya Utawala Wa Magufuli LISSU Amepewa Kesi Za UCHOCHEZI Mara 6 Na Mara Zote Hizo Lissu Anawashinda Mahakamani.
Walipoona Kwenye Kesi Wanazompa Anawashinda Mahakamani Ndio Wakataka Kumuua September 7, 2017 Walimchakaza Sana Kwa Risasi Lakini Mungu Akaingilia Kati Akaokoa Maisha Ya Lissu.
TUNDU LISSU Alikimbizwa NAIROBI Hospital Kwa Matibabu Siku Ile Ile Ya Tukio Alivyofikishwa Nairobi Nakutibiwa Alipopara Nafuu Aliongea Na Alisema "Kamwe Sitamsujudia Rais MAGUFULI Na Vibaraka Wake Aslani" Kutoka Na Tukio Lile La Kinyama Kila Mtu Alijua TUNDU LISSU Hatokaa Akanyage Tena Tanzania Lakini Uchaguzi Mkuu Wa 2020 Ulipofika TUNDU LISSU Alitangaza Kurejea Nchini Kwa Mara Ya Kwanza Na Akatangaza Nia Yakugombea Urais.
Uchaguzi Ulipomaliza Na MAGUFULI Kuibuka Mshindi Watu WASIOJULIKANA Wakaanza Tena Kumuwimda LISSU Wamalize Kazi Yao Lissu Akakimbilia Ubalozi Wa Ujerumani Akasindikizwa Hadi Airport Nakurejea Uhamishoni Nchini BELGIUM. Mwaka 2021 Rais MAGUFULI Akafariki Na Makamu Wake SAMIA SULUHU Akawa Rais. Akiwa Ziarani Nchini Ubeligiji Akakutana Na Lissu Akamuhakikishia Lissu Usalama Wake Na Lissu Akarejea Nchini Kuendeleza Mapambano Yakudai HAKI, KATIBA MPYA Itayotuoa TUME HURU Ya UCHAGUZI.
Mwaka 2025 Mwezi January Chama Cha CHADEMA Kikafanya Uchaguzi Wa Viongozi Wao Na TUNDU LISSU Akatangaza Nia Yakugombea Uenyekiti Wa Chama Taifa Hapa Team Mbowe Pamoja Na CCM Wakaanza Kutoa Milio Wakaanza Kumshambulia Lissu. Lakini Wananchi Kwa Asilimia 99 Walikua Upande Wa Lissu. Na Mwezi January LISSU Akashinda Uenyekiti Akaanza Mapambano Yakudai REFORM Kwakauli Mbiu Ya "NO REFORM NO ELECTION" (Bila Mabadiliko Hakuna Uchaguzi)
Mwezi Wa Nne Mwaka 2025 TUNDU LISSU Akakamatwa Akiwa Mbinga Nakusafirishwa Hadi Dar Nakupewa Kesi Ya UHAINI. Kwenye Kesi Hii LISSU Akasema Atajitetea Mwenyewe. Kesi Hii Isiyo Na Dhamana Imemuweka Lissu Ndani Ya Mahabusu Kwa Mwaka Mmoja Na Nusu Na Jana Ilikua Siku Ya Hukumu Na LISSU Akashinda Kesi Ya UHAINI Lakini Majaji Wakaamua Kumfunga JELA Miaka 4 Kwakosa La UCHOCHEZI Kosa Ambalo Hakushitakiwa Nalo Wala Hakupewa Nafasi Yakujitetea Nalo.
Mungu Amlinde TUNDU LISSU.
@zittokabwe@bavicha_taifa Rugemarila is free nw na inabidi alipwe fafhira zake kwani walikula hela yake wengi. Mikaka ya kumpatia leseni yake imeanza sasa!!!!
@DrCyrilo@AmosRichardM@MagufuliJP Acha ushamba na kuwaambikiza wengine!! Mbona hamkuprove wrong kiscience pindi kaanzisha hoja yake. Dunia nzima ilishangaa na kuduwaa wasijuwe la kumjibu!
Ungefwatilia post za black americans kama Raila Mohamed Ally alimpost na kumsifu kuwa ndiye Rais wa Africa aliye jasiri uthubu
@MsigwaGerson Ushauri mzuri sana
Mama asisikilize makelele yanayopigwa ya wanasiasa. Akumbuke waliteuliwa wote wakituahidi hayo waliyoyafanya na mengine basi kwakuwa mmojawake kamuacha yeye basi amalize hayo waliotuahidi wakiwa wote kabla ya magu hajafariki hapo nyuma!