Unatafuta mchele safi, mtamu na wenye ubora wa hali ya juu๐๐
Tunakuletea mchele mzuri kwa matumizi ya nyumbani, restaurant na biashara.
Tuna package za 5kg, 10kg, 25kg na 50kg
๐ Delivery inapatikana ndani ya Dar es Salaam
๐ฒ Wasiliana nasi WhatsApp: _ (+255) 0778566694
Mapambano huwa na harufu mbaya ya mwili na dharau kwa WANAOKUTIZAMA
Lakini njia sahihi yakukufanya uwe huru maishani mwako...
USIOGOPE wanachokisema kuhusu wewe OGOPA kitakachotokea baada ya wewe kuacha kupambania maisha yako....
Maisha ni YAKO Maneno ni YAO.
Kuna muda unaweza poteza tumaini kutokana na yale unayopitia ila nikwambie tu ww ni wa thamani kuliko maumivu na magumu unayopitia kuna kesho yako bora Mungu aliyokuandalia....
Mungu ni wetu sote ๐๐ฟ