Kama kuna kitu ya maana sana na yenye vijana inafaa mjue ni ety mashida hakuna siku itawahi isha. Buana usiwahi jinyima ety juu unaona una overspent, kula hiyo pesa tutatafuta ingine. Ona hata kama hii kijana ya Sugoi, yaani jamaa si ety hana pesa hapana,,pesa iko lakini bado
Huku Eldoret vijana mko na upuuz sana buana. Sasa hizi ni gani?🌚
Unajaribu kutembea hata kutuliza akili usahau vile baba charlene anatuangaisha unapatana na mtu ameprint jersey ety TUTAM. Zieet 🤧
Huyu ukipiga yeye level training pale eFootball na umpee booster ya dueling anakua hadi na blitz curler na ratings za 109 mamae.
Don't reply i don't deserve you Kate,,,
Wacha hata nilog out mamae 😂...Naona Mnataka kupita na mimi kabisa by all means 😂😂.
Huyu kwelah/paka samaki for example anajaribu kusema nini?. Watu wajibambe tafadhali 😂...Si makesho majamaa 😎
Hakuna shida kutangaza event mapema, lakini confirmation ya artist ni muhimu. Kama kuna uncertainty kuhusu Wizkid kuja Kenya, ticket buyers wanastahili kuambiwa wazi. Kenyan event culture inahitaji accountability na transparency
Hizi Kenyan events zinahitaji due diligence Unabuy ticket ya Wizkid juu umeambiwa anakam, kumbe confirmation hakuna. Sasa ukiuliza pesa yako, unaambiwa subiri updates. Wakenya, tusibuy hopes na expectations.