@fatma_karume We nae unatuchosha tu huu wakati tunahangaika kupata majibu ya ndugu zetu we unakomaa kutukumbusha ya nyuma ili turudi nyuma na kuona wanao ona haya mambo si sawa hawafai kukemea
Usituchoshe na hatuhitaji msaada wako tunacho taka kwa sasa ni majibu.
@SuluhuSamia Mama wamefunga eneo kubwa mno wanajeshi wako ningeomba walau wadibiti eneo la kuingilia na kutokea tu ili sehem za jirani tuendelee na biashara maana kuna maeneo ni mbali sana na eneo la tukio lakini wamefunga
@Roma_Mkatoliki Kuna daladala inatoka simu 2000 to mnazi daily ni ngoma zako tuu safari inaanza na mathematics hadi mm ni nan salute sana bado unaishi na sisi Kweny harakat zetu za kila siku maana huwa naiwinda niipande ili nile midundo yako