@HebelNathan@MariaSTsehai Njia ya kuokoa maisha na mali ni Serikali kutangaza utayari wa kupokea maandamano, na kueleza venue ambayo itakuwepo kuwapokea waandamanaji na kusikiliza hoja zao.
Pia, serikali iwatake wandamanaji wasiende Ikulu au nje ya njia/venue iliyotajwa, kuwa huko hakutakuwa na ulinzi.
@chimbuko_@usembassytz@usembassyzambia Wachina walijenga, wakatupa reli nzima na treni zinatembea. Miaka miwili tu baadaye tukawaingiza wamarekani, wakaiua. Tangu mwanzo waliipinga sana reli hii.
@usembassytz@usembassyzambia Kumbe Wamarekani walioipinga na kuilaani sana reli hii walisha tiamk9ni kwenye taasisi TAZARA! Sasa nimeelewa sababu ya kuzorota kwake.
@ampalsson@mfa_russia@netanyahu Indictment isn't conviction, poor mom! None of these gentlemen is a convict. Rather, a convict is sitting in the WH as you read this.
@MussaHaji@godbless_lema Being open to the public, subject to acceptable standards and conditions, is a condition of every commercial / business license. The colour of one's skin isn't an acceptable criteria for choosing customers.
@adamlutta Tanzania ina akina @AdamLuta, wanachungulia kwa jirani, wanarudi nyumbani, wanachapa usingizi, wakitegemea malaika awaletee waliyoyaona kwa jirani.
@rashidsaidi400@ExMayorUbungo Sisi tuna vyombo mahiri sana vya kudhibiti wahalifu. Haiwezekani hayo ya Banyamulenge na M23 yatokee Tanzania. Acha tufurahishane bwana weè.
@islandno55 @Deo18Tarimo Uzembe gani wa Serikali? Serikali ndiyo imechimba kwenye msingi wa nyumba? Kwa hiyo ukiteleza bafuni nyumbani kwako ukavunja mkono tuseme nani mzembe? Hii si ni ajali kama nyingine? Au Serikali ilipaswa kuzuia ajali?