Babu Patel alidanganywa na Commando ati Paty ya H.E itaitwa Ukombozi People's Party. 🤣🤣🤣
Yeye na ujinga yake akaanza kutangaza. His aim was to spoil the launch.
Then comes the KANU Orphan, Mzee Kalonzo. Kusikia Ukombozi pia, akaamua kuchange his KOMBOA KENYA to UKOMBOZI.
Anyway, hawa huwa tunawa-warn, wacheni kukoroga H.E but hawasikii. Now let UDP na DCP join and form a formidable Coalition. Kutoka hapo, ndio tuanze kukuwa na serious and honest Conversation.
Watu watalia hapa mbele!