Jambo gumu ambalo nimekubaliana nalo ni kua nchi zetu hizi kufikia Dunia ya kwanza labda Mungu aingilie kati.
Hamuwezi kua mnazalisha Nyambizi, ndege za kivita, mitambo mizito, satellites au robots mkawa mnasumbuana na jezi za vyama haiwezekani.
Inauma sana ila kweli
@BarakaMaviatu@Lycaon_pictus0 Subiri tufanye kikao Cha kutathimini mazingira yamechafuka Kwa kiasi Gani.
Kisha tutafanya Upembuzi yakinifu.
Halafu tutangaze tenda Kwa kampuni ya usafi. Ambayo tutailipa kabla ya kufanya kazi. Baadae CAG atasema kulikuwa na malipo hewa.
Tutakaa Tena kikao tutafute sababu ni nin
"Mtumaini BWANA milele, kwa maana Bwana ndiye Mwamba wa milele."
📖~Isaya 26:4
Tunapoona milima tunajiona wadogo — si kwa ukubwa tu, bali hata kwa umri. Lakini Bwana alikuwepo kabla ya milima yote na atabaki milele. Yeye ndiye Mwamba wa usalama na amani yetu! Milele iko kwake.
@kidyblac Given the Task to do..
One that seems Impossible,
Given The Desire to do it..
Humans can accomplish almost Every Thing.
~ Jim Arthur Lovell 1928-2025. Former NASA Astronaut With Four times Space Flights including Commanding Heroic Apollo 13.
Ukiijua Biblia vizuri basi Huenda ukawa ume solve 80% ya changamoto za dunia.
Imagine imeandikwa
"Siku ya heri uwe na furaha, na siku ya taabu ufikiri."
Sio siku ya Taabu uhuzunike, La hasha! "UFIKIRI"
Kwa Lugha nyepesi kabisa ni kuwa Always there is a Way out.📌
Kwa Lugha nyepesi Biblia inajaribu kuelezea ni namna binadamu Tuna uwezo mkubwa wa kufanya chochote tunachotaka.
Ila uwezo huo Umefungwa na hofu na hofu huondolewa na Imani.
Amini Itakua📌