Msaada Kidogo
Nina Miezi 6 Sasa Natafuta Honda XR 250 au Honda XR 400 Nani Anajua Chimbo Linaloagiza Hizo Chuma From Japan? Nyingi Nazopata Hapa Bongo Zina Hali Mbaya
@xlusako Ukifuatilia vizr Nissan wenyewe wanakubali hilo tatizo.. na sana sana hutokea kwa Zile Toleo la 2008/9 ndio zenye hilo tatizo sana na Sababu kubwa huwa ni hizi
1. After market accessories/ (mfumo wa umeme)
2. Utumiaji wa Engine oil,Transmission Fluid, coolant ambazo sio sahihi.
@Adventure_36 Barcelona Express hakuwa na night shift.. kaamua kuleta chuma za usik sasa!
Kusini sasahv kuna vyuma vingi sana! HIGER kama zote...
Bus nyingi wameongeza route wanaenda hadi Tandahimba. (Kusini ni barabara tu ndio kitu wamekosa)
kupelekwa TBS, na kupelekea kuanzishwa kwa TMDA. Lakini baadhi ya watumishi waliokuwa TFDA bado wanaendelea kutumikia TMDA na miongoni mwao ambao walikuwa wanadeal na chakula na vipodozi walipelekwa TBS..
TFDA(Tanzania Food and Drugs Authority) ilikoma July 2019 na TMDA(Tanzania Medicines and Medical Devices Authority) ikazaliwa, Hii ilifuatia marekebisho ya Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi (Sura 219), ambapo jukumu la kusimamia chakula na vipodozi liliondolewa kutoka TFDA na
@KEYDEVU Hapa itategemea na matumizi ya hiyo 1M kwa siku! Kama atatumia kuweka laki 5 tu kila siku kwenye mifuko ya uwekezaji au kununua hisa za makampuni, huyo mtu hatoshikika..
Kama umeajiriwa, hakikisha ukija kustaafu unapata same pesa kila mwezi kama ulivyokuwa unapokea mshahara wako.. hii pesa unatakiwa uitengeneze ukiwa kwenye ajira yako kabla ya kustaafu!
Nje ya hapo utakuwa ombaomba!
Unakuta mtu miaka 40 ya kuajiriwa, mshahara wake uliweza kujenga nyumba tu ya room 3 na gari 1 tena kibakuli
Maisha yote ya utumwa. Hakuna Kula vizuri, hakuna Uhuru.
1. Ongezeko la Watu (Population Growth)
2. Sera ya Elimu Bila Ada ( Hii imesababisha shule zilizopo kuelemewa (overcrowding).
3. Umbali na Jiografia.
4. Maintenance vs. Replacement. (Hapa ndio kamzozo)
Vijana mpo serious sana.. nitaharibu biashara za watu WAKUU!
Labda niwape sifa nyingine za ziada! Hapo kwenye hotel kuna Night Club pia! Na wahudumu wa hapo club wote wanatokea Dsm.. HOTEL ipo njiani ukiwa unaelekea stand mpya ya Bus.
@AlexSamoja Kuna Hotel (×) pale njombe ndio mambo yao! Pale ukibook room wanakuletea automatic heater.. ila wakiona ni mgeni kabisa(Sio mwenyeji kwenye mazingira ya baridi) huwa wanasema kabisa ukishindwa kulala mwenyewe tujulishe tutakuletea mtu akupe kampani!