Waagizaji wa mizigo watanufaika kwa kupata mfumo wenye uwazi wa gharama, kupunguza migogoro ya malipo na kuharakisha mzunguko wa mizigo. 6/30
#TCAMS#Uwazi#Ufanisi#Uhakika#BiasharaBora
Uwazi katika biashara hujenga imani. Kupitia T-CAMS, huduma za uwakala wa forodha zinaingia katika mfumo unaoongeza uwajibikaji na ufanisi. 5/30
#TCAMS#Uwazi#Ufanisi#Uhakika#BiasharaBora
Mawakala wa forodha ni kiungo muhimu katika biashara ya kimataifa. T-CAMS inalenga kulinda maslahi yao kwa kuhakikisha huduma zao zinatambulika na malipo yanafanyika kwa utaratibu rasmi. 4/30
#TCAMS#Uwazi#Ufanisi#Uhakika#BiasharaBora
Kwa muda mrefu mawakala wa forodha wamekumbana na changamoto za malipo. T-CAMS inaleta suluhisho la kudumu kwa kuweka utaratibu rasmi, wazi na wa kuaminika. 3/30
#TCAMS#Uwazi#Ufanisi#Uhakika#BiasharaBora
T-CAMS si mfumo wa malipo pekee; ni mageuzi ya kidijitali yanayolenga kujenga sekta ya uwakala wa forodha yenye ushindani wa haki, uwazi na weledi.
2/30
#TCAMS#Uwazi#Ufanisi#Uhakika#BiasharaBora
Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa. T-CAMS inaleta uwazi, ufanisi na uhakika wa malipo katika sekta ya uwakala wa forodha, kwa manufaa ya mawakala, waagizaji wa mizigo na Serikali. 1/30
#TCAMS#Uwazi#Ufanisi#Uhakika#BiasharaBora
@HecheJohn Wakati wa akiwa msaidizi wa Mwl JK Nyerere hakuwahi kuidai Tanganyika sababu alikua anakula sega la asali... Ameondoka madarakani baada ya miaka 20+ kama msaidizi wa Mwl wakaiacha Tanzania ikiwa na 1,300km za barabara za lami. Watu wa Kagera walilazimika wapite uganda kuja Dar
Kwa kuongezea, mwaka Huu Korea watahost Zanzibar na Rais wa Zanzibar kwa Initiatives zako kwenye Mkutano wa Utalii wa Visiwa, ambao pia mwakani Zanzibar tutahost visiwa vyote vinavyodeal na Utaliiโฆ umeacha Alama Tony, inawezekana yote uliyofanya Korea yasifit kwenye twit moja ila ipo siku moja utaandika neno moja tu litakalodefine yote uliyoyafanya over the years!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma pembezoni mwa Uwanja wa Ndege wa Dodoma kabla ya kuelekea Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2026.
@ERICSAMBA@ChademaTZ2@HecheJohn Usifurahie takwimu, furahia mapendekezo ya kutuvusha katika mazingira kama haya siku za mbeleni. Kama umeyasikia kwenye tamko nijulishe ๐
@ChademaTZ2@HecheJohn Badala yake mmetoka na tamko jepesi sana lenye kutoa suluhisho la muda mfupi. Chama cha siasa chenye ndoto ya kutaka kuaminiwa kuongoza Nchi kinapimwa kwa ubora wa sera, mawazo na mipango mbadala sio hoja nyepesi. 3/3
@ChademaTZ2@HecheJohn Namna ya kuongeza wigo wa kodi kwa kujenga uchumi unaozalisha na urasimishaji wa sekta isiyorasmi ili ichangie katika mapato ya serikali na uchumi wa Nchi. Hii ingesaidia kutokutegemea mafuta kama chanzo kikuu cha mapato katika miradi ya maji safi, barabara na umeme vijijini 2/3
@ChademaTZ2@HecheJohn Kama chama kikuu cha upinzani hapa ndipo mlipaswa kuonesha uongozi, sera na mpango mbadala katika eneo hili la nishati hususani katika kuhakikisha uhakika wake, vyanzo mbadala, ushirikiano wa kimkakati na uwekezaji kwenye miundombinu ya kimkakati 1/3