@lifeofmshaba@godbless_lema Keshakuwa dikteta tena?! Viongozi wa chadema mna changanya. Wengine wa namsifia, wengine wanamdhihaki. @godbless_lema Sasa hivi tulizeni kwanza hali ya hewa kutokana na ya wabunge 19
Kitu huwezi kupokonywa na mtu ni ndoto yako. Usikubali kukatishwa tamaa kuhusu ndoto yako, usikubali kuizika ndoto yako. Miliki ndoto yako. Linda ndoto yako kwa wivu mkubwa sana, maana ndani yake upo wito wako. Ndoto ikihengwa hengwa na subra, ibada na jitihada, ndoto hutimia.
@swahilitimes Utalii gani na hali hii ya covid, bora hizo hela zingeelekezwa kwenye mambo mengine ya msingi, hatima ya covid ikijulikana ndio waone kama kuna uhitaji wa kuongeza ndege ama laa. Hizo zilizoko hazimtoshi kujaza hao watalii walioko kwa Sasa?
@tonytogolani Hata ukitweet huwa una tweet vya maana, vya kujifunza, vya kuwapa watu moyo. Ukishafuturu uwe unatupa chochote huku kiongozi. Nakutakia mfungo mwema @tonytogolani
@SuluhuSamia@MariaSTsehai Kila la heri mheshimiwa Rais. Kipindi hiki utathibitisha wanawake Wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kutenda zaidi ya wanaume. Mwenyenzi Mungu akusimamie