@John_Pambalu@MariaSTsehai Imagine kila muumini aingie na uniform ya chama chake, itakuwaje huko kanisa ni? Wacheni kutia huruma ili nipate support. Tumewashtukia njama zenu. Mbowe avumilie tu sheria ifanye kazi kama ni Gaidi au la
Kukamata watu wakiwa ibadani na kuwaweka rumande kwa madai kwamba ni wafuasi wa CDM ni kitendo cha hovyo katika maandishi, matendo na matokeo. Tujisahihishe.
Wakumbushe wanachadema wadai katiba mpya ya kupata mwenyekiti. Chama kinaendeshwa na group la wachache wao ndio wenye maamuzi. Lissu amepewa umakamu hata ktk uchaguzi hakuwepo. Mbona nafasi ya urais hakugombea akiwa nje ya nchi? Waliotaka uwenyekiti wamefanyiwa visa mpk wametoka
Leo Jumapili tar,15/8/21 nimemtembelea Mwenyekiti Mh. @freemanmbowetz gereza la Ukonga ,NI mzima wa afya.
Anawasalimia ,anasubiri Kwa shauku kubwa kusomewa mashitaka yake 'Committal' ili ajue walichomtungia!
Ujumbe: Watanzania waendelee kuidai Katiba Mpya mpaka ipatikane .
Huyu @SuluhuSamia anaswali kweli? Mbona anaongea uongo macho makavu kabisa😳
Eti anadhani ila hana uhakika kuwa Mbowe alifanya calculations za kuitisha mkutano wa Katiba ili akikamatwa ionekane ni sababu ya maandamano! Muogopeni Mungu @tanpol na Rais
https://t.co/VGYelgTmsN
@fatma_karume@SuluhuSamia Na baba yake aling'ang'ana moja mashamba ya Watu kule nyumbani kwa Samia kajenga hotel kubwa Residencial, na lile eneo lingine ana mpango wa kuweka fencing Watu wasiende beach
Na mutafanyiwa ubaya zaidi onyesheni chuki zenu tu na polisi. Hoja zenu hazina mashiko hata kdg, mmejawa na chuki na vizazi visivyo na msingi. Siasa imewashinda. Munavunja sheria muangaliwe tu. Nendeni barabarani muone, mitandaoni tu kupotosha watu, tokeni barabarani.
Kuna Polisi huwa anaenda nyumban kwa Mama kuchota maji miaka nenda rudi hatujawai kumlipisha ila leo nimemwambia Mama amwambie kuwa kuanzia kesho hatoruhusiwa kuchota maji kwetu akimuuliza kwanin amwambie kuwa ni kwasababu wao wanatumika kukandamiza Haki za wengine, #UbayaUbaya
@Twaha_Mwaipaya Nchi ilisha washinda hapa nikureinfocement
We ogopa wako locap na hii corona laki wanaishi wao wanabarakoa na sanitaiza na mav8 lakini wapita hivi Mungu hadhihakiwi kamweee!
@MarekaMalili Wacha roho mbaya, ulitaka aweke picha yako? Unataka kumpangia mtu na jambo lake? Ww mbona umeweka picha? Badala ya kumpongeza kwa zr alofanya, ww limekushinda unaponda ndio sbb kupata maendeleo ni ngumu, roho zimejaa husuda, TZ ipo nyuma kila nyanja kwa watu kama ww hasidi mkbw
@kigogo2014 Ww Fatma na wenzako munajipendekeza SN na huyu, umeona ni jinsi gn alivyombaguzi wa jinsia, dini na ukabila. Anawatukana Wazanzibari unamchekea unashindwa kumwambia ukweli. Yy na wenzako ndio wampao mtu Urais? Angempa huyo amtakaye basi. Huyu jamaa anapotosha watu sn