Kama kuna kitu nilijifunza mapema maishani ni kwamba ‘never start a battle with someone who’s got nothing to lose’ na ‘fight your battles like you’ve nothing to lose!’ #NjeYaBox#HK
Unaingia Mwaka Mpya Wakati Moyo Wako Una Masononeko, Mateso Na Maumivu Makubwa Inawezekana Mwaka Unoakuja Ukawa Mchungu Na Mgumu Kwako Kwenye Mahusiano...
Muombe Msamaha Aliye Ndani Ya Moyo Wako Na Jitahidi Sana Ajue Hisia Zako Ili Uingie Mwaka Mpya Ukiwa Huna Jeraha La Moyo.
.
PRAY ....... Like Nehemiah
OBEY ....... Like Daniel
LEAD ........ Like Moses
BUILD ....... Like Noah
FIGHT ....... Like David
SERVE ....... Like Martha
BELIEVE ..... Like Mary
EDUCATE ... Like Paul
PROTECT ... Like Peter
LOVE .......... Like JESUS
Can I get an “AMEN” ???
.
.
GOD creates
GOD loves
GOD helps
GOD hears
GOD heals
GOD saves
GOD speaks
GOD blesses
GOD teaches
GOD watches
GOD answers
GOD defends
GOD forgives
GOD provides
GOD remakes
GOD redeems
GOD responds
GOD supports
GOD sees and
GOD cares about you & me
Can I get an “AMEN” ???
.
NAMNA YA KUANZA HOTUBA
•Inua kichwa na tabasamu
•Toa mzaha mfupi (hakikisha mzaha utachekesha)
•Uliza swali la kufikirisha ambalo wote kwenye hadhara wanalo
•Toa [relevant] fact au takwimu ya kufikirisha (mf. wanaioshi leo ni wengi kuliko wote waliokufa?)
•Toa hadithi fupi