@HecheJohn Samahani, Hivi Mh Rais Anapaswa Kupongezwa Kwa Jambo Lipi Ambalo Sio Jukumu Lake…….???
Ni Kwamba Mtoto Hapaswi Kumshukuru Baba Yake Kwa Kumnunulia Uniform Kisa Ni Jukumu Lake Sio…..???
@kilinyemghwai @thinkdifferen33 @John_Pambalu Sio tu kutafsiri nyimbo ila pia Jamaa Alisema akipata ubunge ndio atatoa hizo tv, sasa ubunge kaukosa kwa nini agawe tv…..???
Hao walimu wanaosubiri ni majuha
Hulka Ya Mtu Masikini Ni Kumchukia Mtu Tajiri Na Kuhisi Kuwa Kila Tajiri Ni Fisadi Ama Mwizi..✍️✍️✍️
Hulka Ya Yanga Kwa Simba Ni Sawa Na Hulka Ya Masikini Kwa Tajiri✍️✍️
Refer to Psg vs Barca Then Barca Vs Psg in UCL
Ukiona Haki Inadhulumiwa Mbele Yako Wakati Una Uwezo Wa Kuzuia Hiyo Haki Isipotee Ama Kudhulumiwa Basi Ujue Wewe Ni Sehemu Ya Hiyo Dhuluma.
✍️…….Inawezekana Simba Ilikuwa Sehemu Ya Dhuluma Na Mipango Ovu Ya Jana…….✍️