@realDonaldTrump WEWE NI SHETANI ACHA UKOROFI SULUHU YA VITA HVYO MUAMBIE NETANYAU AACHE MASHAMBULIZI ALAFU UONE KAMA ORAN HAJAACHA HUWEZI KUMUAMBIA UPANDE MMOJA KUACHA WAKATI WEWE UNAJUA NANI AMEANZA
@AbroadTanzania kumne na wew una toa taarifa za kinazi na umeegemea upande sasa na mm nakuambia vita hii itaisha soon na watakalishwa mezani maana pande zote mbili zimepigwa na butwaa hawakutegemea chombo sahihi cha habari n Al-jazeera na DW
Maji๐ฆ -> Kwa Ajili ya Figo!
Mayai ๐ฅ-> Kwa Ajili ya Ubongo ๐ง !
Carrots๐ฅ -> Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi ๐-> Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage ๐ฅฌ -> Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango ๐ฅ -> Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi -> Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya ๐ฅ -> Kwa Ajili ya Afya ya Moyo ๐ซ!
Mazoezi exercise๐๏ธ -> Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili!
Mboga za Majani ๐ฅฆ๐ซ -> Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
Furaha ๐ -> Kwa Ajili ya Afya yako ya Akili!
KuRepost ๐ -> Kwa Ajili ya Wengine!
Huyu mama jasiri sana,kwenye hii video kauvagaa moto wa DUBU ,wangekuwa wadada wa Makeup wasinge thubutu kabisa hata kidogo๐
Anyway video ipo kwwnye komenti.