@rollymsouth Maridhiano ni baina ya Viongozi wa CCM na Chadema, huku Viongozi wa CCM wakiamini shida kubwa ipo Chadema ndio maana Maandamano yalitokea. Jambo ambalo binafsi naona wapo WRONG. CCM wanapaswa kuwasikiliza wananchi moja kwa moja sio Wanasiasa, tatizo halipo chadema Bali Watanzania
@SGahamanyi@nsafelix1 Brother we see you trying to defend what is bad to be right. you need to stop it, if you got paid then its your right to defend your food
@Baraza_Kuu Wala Si support pia ujinga uliopitiliza wa Mauaji ya Watanzania Tena wengi wasio na hatia. Jambo la kufanya ni kwamba CCM inapaswa kusikiliza wananchi, wadhibiti utekaji wa raia wake, warekebishe katiba n.k hayo yote yataweka Tanzania salama ila tukianza kutafutana mchaw hatutobi
@Baraza_Kuu Wasikilizeni Wananchi, Acheni Yale wanayowaomba muache, Chanzo cha hayo yoote ni kutosikiliza wananchi na kudharau malalamiko yao. Serikali ya CCM imedumu muda mrefu madarakani kwakua hawajawahi kupuuza kelele za watanzania. Mm si support ujinga uliofanywa wa uharibifu wala
@DavisThuranira Naona Aibu mimi Raoa wa Tanzania nikisema huyu ni Mbunge wa Taifa langu. Alafu nashangaa sana Wanzanzibari mbona wana Roho mbaya kiasi hiki?
@kwamekivaisi Inasikitisha sana kuwa Watanzania tumefikia mahala ya kuwa Makatili sisi kwa sisi, tunajengeana Ujasiri wa kufanya mambo yasiyofaa, imagine unampoteza mama yako kwa Risasi Tena Risasi hizo zinatoka kwa Wanaotutawala, then hapa unasema someone is destroying our country π’ who else
@RashdaZunde Ivi ndugu zangu, unatakiwa uwe na Roho mbaya kiasi gani usiendelee kuumia kwa mauaji yaliyotokea?. Na pili najishangaa sana sijui nimekufollow vipi