@RadioGenoa Matthew 6:5 And when thou prayest, thou shalt not be as the hypocrites are: for they love to pray standing in the synagogues and in the corners of the streets, that they may be seen of men. Verily I say unto you, They have their reward. 😎
@almasially4352@killo_killo11 Alaf inakusaidia nini ukishaona alipozikwa mtume, uza uwasaidie wahitaji kama nikweli unahisi kuwa huhitaji ulivyonavyo, mnafikir kuwa Mungu anapenda mfanye hivyo kumbe ni watu mliopotea mkifaidisha mashirika ya ndege, mahoteli na migahawa iliyopo huko makka, jifunzeni kutafakari
@killo_killo11 Na unasema kabisa mashaalah, ivi ninyi watu nani aliwadanganya kiasi hicho, huyo mzee akirudi ubafikiri ataishi wapi na labda Mwenyezi Mungu akamjalia siku nyingi tena unafikiri mwisho wa siku si atajikuta anaanza kukufuru tena. Tumieni akili mnavotaka kupost vitu kwenye umma