@N3sty09@NjiwaFLow@Watu_Mikeka@SLello47@nyalut23 Bati nyumba kama hiyo kwa 3m? Mnanunua gage za kuzungushia uzio ndio mnaezekea au? hapo gharama za bati aanzie 6m to 8m. Kwa kifupi 24m hapo inaisha kwenye bati, mbao za kuezekea na brandering na gypsum design.
@KilinakoZ@PolycarpMDM Kukidhi ni mahitaji, wakihitaji uwe for world cup wanafanya hivyo, sasa kwa nini ukidhi kwa world cup wakati haupo kwenye ratiba ya world cup? Hata hivyo vilivyochaguliwa kwa world cup si vingine vilikuwa kama hivyo?
@JOHNKOM7@PolycarpMDM US anapambana na issues za ugaidi, akilegeza hapa watu wakujilipua wataingia nchini kwao kirahisi, hivyo wameweka sheria ngumu ya uhamiaji, uzuri wa sheria kwa wenzetu hazimbagui yoyote. Pale hata raisi ya fifa akiingia atapitia moto huohuo.
@PhentyKiria Mbona camera zinaonyesha pale ni corridor? Kuna baadhi ya wanafunzi wanalala corridor, nahosi mabweni yamejaa. Kama ulisoma shuld za bweni hauwezi kushangaa wanafunzi kulala kwenye corridor.
@Thommunkondya Ila real-estate bongo inahitaji regulations nayo, south africa ina mitaa mizuri ile kama masaki unakutana 1 storey building za 200,000usd. Sasa bongo ukienda kuulizia jengo masaki utajiuliza kama ukanunue apartment marekani au uongeze pesa kidogo ununue masaki
@PNWorld31826@vistovic17 So what the purpose ya kubishana na maoni binafsi ya mtu, tena ameweka %, i think kuna muda inahitajika muwe wavumilivu wa mijadala, based on his perspective yuko sawa, na mimi nikisema beki bora ni mwamnyeto itabakia kuwa nu perspective zangu, kipi cha kukupandisha kisukari.
@PNWorld31826@vistovic17 Mbona unaleta hoja off point! Kuna mahali nimemuongelea rushine? Nilichokuambia ni kuwa hauwezi kumchagua beki kwa kigezo cha clean sheets,
@PNWorld31826@vistovic17 Kwa kukusaidia tu, beki bora tunaangalia.
-Duel 1v1. Rate ya kuwin ball one vs one
-Interception.
-Tricles.
-Aerial duel win rate
-Block and clearance
Hauwezi kumpima beki kwa cleansheet, in modern football back line wapo wa5, kwa hyo timu ikiwa na cleansheet nyingi wote ni bora