@NectoKitiga Kumamake apo ngebe ndebe tunakiwasha wanangu wa SIDO, MAMA JOHN, MAPELELE, TIA,STILIÒ,SANGU,SINDE,ILOLO,AIRPORT, SOWETO, yaani koma lendeghe , koma kumwanya madafaka
"Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu yupo gerezani, si mnajua? hivi aliyepo Ikulu ana akili kuliko @TunduALissu?" Anauliza @NectoKitiga Makamu Mwenyekiti Bavicha Taifa
Narudia tena ndugu zangu @ChademaTZ2 kuwa bado ninamaono na hujuma ndani ya chama naomba mchunguzeni sana @godbless_lema ni mzuri sana na mkweli sana lkn roho wabwana ananambia anatumika na vyombo
#Tanzania
"An 82-page submission to the International Criminal Court by a group of civil society organizations [has] stated that the Tanzanian authorities killed more than 3,000 civilians following polling day [last October]."
https://t.co/dHCUchvlQU @euobs
Asanteni Watanzania wote kwa sapoti na maombi yenu. Shukrani za pekee kwa THRDC na Wakili Julius Innocent Kadaraja kwa kusimama nami hadi nimepata dhamana baada ya zaidi ya siku 10 mahabusu.
Juma tatu ya kesho saa 2:00 asubuhi nitaripoti Central Police Mwanza. Mungu awabariki.
Alichosema @MsigwaPeter huko Iringa ndio uhalisia kama wewe @ccm_tanzania unasema unaweza kupata hata kiti kimoja cha kitongoji bila polisi,jeshi,mgamo,na usalama wa Taifa njoo lumumba ujibu hoja