@Kipanga1986 Kuandika Ili umbeze mwana taaluma huko Nako ni kulopoka kweli unauliza kashinda kesi gani kwayi hata ile ya mkataba wa bandari hujui ilikuwaje mhe. Mwambukusi Dr shivji na nshala walisema ni mkataba halali Dr tulia akabisha mahakama kuu ya mbeya ikaamua ni mkataba halali hujui?
#TajiriLaKihaya
Timu zetu za โUDINIโ
IRAN na SAUDI ARABIAโฆ
Wameupiga mwingi saana ๐๐พ๐๐ฝ
Nmekesha Kwa ajili Yaoโฆ Ngoja Nilale sasa ๐ซถ๐พ
Chadema be quick to act, mpelekeni Mahakamani Kihongosi athibitishe tuhuma zake dhidi ya Chadema. Msimuendekeze, atazoea!
Kila uchao anaibua tuhuma mpya dhidi ya Chadema. Msimnyamazie mpelekeni mahakamani ( najua hakuna mahakama, lakini kuna some few Judges wanaweza kuliona hili wakalifanyia kazi).
Mpelekeni athibitishe ujinga anaousema.
Ameandika Mdau Retired @JamiiForums
Wiki iliyopita nili-post juu ya kesi hii ambayo Serikali iliwashtaki watu hawa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma kwa madai kuwa waliandika katika akakunti ya Instagram kuwa " mauaji ya 29 Oktoba 2025 hayawezi kufichwa na tume ya Uchunguzi". Nikahoji kosa lao hapo ni nini kusema tume haiwezi kuficha mauaji hayo? Nikahoji kwani tume iliposema wameuliwa watu 518 ilikuwa inamaanisha nini?
Pamoja na mambo mengine niliahidi kuwatetea mahakamani watuhumiwa hawa ambao ni mme na mke mwenye mtoto mchanga. Leo tarehe 12/6/2026 ilikuwa siku ya kesi yao. Nafurahi kuwajulisha kuwa kesi hiyo imefutwa na watuhumiwa wako huru kuanzia leo.
@PolycarpMDM Mna hangaika kumtetea baba yenu Ili aibunifutike na Bado yatatokea zaidi ya yake ambayo western media walikuwa wanapigia kelele Qatar na Russia ila kwa USA ndio anabaki uchi sasa kama alivyo aibika kuishambulia Iran na Bado jeshi lilelile serikali ileile Sheria zilezole na silaha
@PolycarpMDM Mnahangaika kutetea Ili msipokonywe visa za USA ila hata Thierry Henry amekosoa na kitendo Cha refa kurudushwa na ishunya Iran mbona Qatar Ili kuwa na maasimu wake kisiasanlakin kwenye kombe la Dunia waliingia Russia pia hivyo hivyo ila USA kama mnaaga maiti kwamba ni sawakabisa
@nguchiro47@godbless_lema Usisahau ccm washakimbia midahalo mara mbili kabla yabuchaguzi mkuu Tena mmoja uliandaliwa na odemba kwenye viunga vya UDSM Kuna picha mbovu kuzidibile kweli
Kwa vile sasa hivi hatuna serikali iliyo ya wananchi, iliyotokana na uamuzi wa wananchi, na inayotumikia wananchi, basi sisi wananchi tufanye yale tunayoweza kuanza kuwatambua wahanga wa mauaji ya Samia na wahuni wake.
Kundi linaloongozwa na Samia halijali chochote kuhusu watu lililowaua.
Kila mara wamekuwa wakitoa kauli za kikatili na za kutojali.
Sasa basi, mimi binafsi, kibinadamu nimeguswa sana na hayo mauaji.
Kuna watoto wengi pia ambao waliuliwa. Mpaka leo sijawahi kuona popote pale majina yao.
Watoto hao walikuwa ni binadamu. Hawakuwa mbwa wasio na mwenyewe au mapaka shume yasiyo na makazi sehemu yoyote.
Wale walikuwa ni binadamu kama mimi na wewe.
Sijaona mtu wala taasisi yoyote ile ikiwazungumzia watoto hawa na kutetea ubinadamu wao na haki yao ya kuishi waliyonyโangโanywa.
Mimi najitolea kwa kuanza kuuliza kwanza hao watoto ni akina nani? Lazima walikuwa na majina. Wanaitwaje?
Huyu alikuwa anaitwa nani? Alikuwa anakaa wapi? Alikuwa na umri gani?Ndugu zake ni akina nani na wako wapi? Alizikwa wapi?
Tuangalie Uzi wote ๐ฅฒ๐๐พ