Miundombinu ni lazima ijengwe ili watu wako wapate huduma la sivyo utakusanya kodi juu ya makaburi...watu wanachotaka ni uwajibikaji na uwazi kwenye matumizi ya fedha, pia wanataka haki na utumishi unaojali maisha yao. Ni wajibu wa serikali kujenga miundombinu.
Mtu akisema CCM haijafanya chochote kwa miaka zaidi ya 60 ya uongozi, aidha hafahamu historia ya nchi hii au amekuta mengi yakiwa tayari yamejengwa.Mtu akisema hivyo huwa namuona kama mtoto au mwendawazimu. Ni kweli zipo changamoto, lakini kusema hakuna kilichofanyika si sahihi. Je, wakati wa uhuru tulikuwa na shule karibu kila kata, hospitali za rufaa kila mkoa, au miundombinu mikubwa ya barabara na reli? Kukosoa ni haki, lakini pia ni muhimu kuthamini hatua zilizopigwa na maendeleo yaliyopatikana. Au nyie mmepata uhuru na SGR.?
@IamFranceTz@NoblyHD@ze_mandevu Sheria gani inazuia kumuonea mwanamke wivu? Pili unadhani namwonea wivu? Uzuri ni kwamba huwa mnawashangilia sana hapa...Ila ukweli ukijulikana huwa mnawaruka kama hamwajui...ngoja tusubiri
@NoblyHD@IamFranceTz@ze_mandevu Guys....guys nyiingi maelezo meengi hata haelewi anasema nini. Kwamba mtu akitrend ndo tayari ashakuwa hard worker? Haya ni maajabu!
@iamthatfemale Sina Maana ya kukutusi. Ila naamini watu wanaoamini wanaume ni wabinafsi, Wamelelewa bila baba(fatherless behaviour ) ama wamekua na toxic mothers. Kwasababu Wababa wanavyojitoa muhanga ili familia iwe sawa sio mchezo.
Pichani ni Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato (Msalato International Airport) ni uwanja mpya na wa kisasa wa ndege unaojengwa jijini Dodoma, Tanzania.
Kwa heshima zote unahisi itapendeza zaidi uwanja huu ukapewa jina la nani?
#Dodoso | #EastAfricaTv | #HainaKuchoka
@MarekaMalili Sio ndoa tu, sikuhiz movie nyingi zinatukuza maovu...waovu wanapewa uhusika ambao unawafanya waonekane kuwa wanchokifanya ni sawa. Mfano mzuri Lacasa de Papel
Hapa lazima kuna mkono wa serikali na ikibidi hata mashirika ya kijasusi ya kimataifa. Hii nchi inaanguka, wakimalizana na weusi wenzao watahamia kwa wazungu...tuko hapa.
"We have given others till June 30th to leave SA BUT we held a meeting yesterday and agreed that NIGERIANS must leave on June 24th. Any Nigerian business that opens from 24th, we will take over the shops"
@AdoniasMusa@ItsKamala Washubi na Wahangaza ni Watanzania kama Watanzania wengine tu, uvivu! ukitaka mtu wa kazi inabidi ualike mrundi...speaking from experience. Though tangu 29 October Warundi hawavuki tena boda mashamba yamelala maana hawa jamaa wa huku kazi hawataki Ila hela wanataka.