Maridhiano si ya vyama vya siasa na Tundu Lissu anaelewa fika! Mtaridhiana na Taifa zima - how? Kwa kuwajibika! Mliowaua mtawajibika nao na kuridhiana nao kama mna uwezo huo!
#SamiaMustGo#CCMmustgo#TutaelewanaTu
‼️#EnforcedDisappearance#Tanzania caught on CCTV‼️
Wednesday night around 9pm at Tawaqal petrol station in Sumbawanga, Masoud Husein was taken by these men who drove a sedan and walked up to him as he sat on his bodaboda next to a Hiace mini bus! When the people asked who they are they said they are from the security and intelligence services TISS! He has not been seen since and police deny having him! @tanpol better produce him alive and well because this is TOO MUCH!
We demand an end to these illegal abductions by state backed operators!
Jumatano usiku majira ya saa 3 usiku Masoud Husein alitekwa na hawa wahuni na CCTV imerekodi kila kitu! Hawa mafedhuli kwenye hiyo gari ndogo walishuka na wakamfuata Masoud aliyekuwa amepaki boda yake hapo mkabala na Hiace na wakamchukua! Hapa ni kituo cha mafuta cha Tawaqal huko Sumbawanga! Walipohojiwa na watu kuwa ni akina nani wakasema wao ni TISS! Mpk sasa hajaonekana!
Samia Suluhu alibadili sheria ya TISS kuwapa wahuni hawa nguvu kufanya watakavyo! Ni hatari! Nyie @tanpol hatutaki maneno mtafuteni na mrudisheni! Na nyie TISS acheni huu uhuni ndo mtaendelea kupigwa ban mpk bibi zenu 🚮 washenzi kabisa!
Mmesababisha nchi inanuka damu na dhulma!
Ndo maana nawaambia #SamiaMustGo #TutaelewanaTu
Zanzibar vs Tanganyika gets real!
Young men from Tanganyika who went over to work on construction sites in Zanzibar have been blocked according to this young man unless they can produce a Zanzibari birth certificate or Zanzibar ID
The Tanzania Union is not really a unitary union!
Time to wake up Tanganyika and form a federation
Tukiwaambia tunahitaji #KatibaMpya ya serikali tatu muwe mnatuelewa
#TutaelewanaTu
This young man has been found at the Dar es Salaam central police station!
This after @tanpol denied having him
We want an end to #EnforcedDisappearances in #Tanzania
Kijana leo kapatikana central baada ya familia kuhangaika zaidi ya masaa 24 vituo vyote
PGO iko wazi namna ukamataji unavyofanywa na mlichofanya ni UTEKAJI @tanpol na ndiyo maana hadi kesho mtapigwa ma vikwazo na kimama chenu!
Acheni ❌ na mpeni dhamana kijana wa watu na waachieni wengine mliowateka!
#TutaelewanaTu
A powerful finding in the U.S. Senate’s Tanzania bill:
“The Tanzanian Police and Tanzania Defense Forces killed hundreds of Tanzanian citizens” during protests against the “fraudulent and illegitimate” October 29, 2025 election.
Those are the findings of a U.S. Senate bill—not activists.
Thank you, Senators @SenatorShaheen and @SenTedCruz.
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
‼️TUMEWANASA MAPOLISI WA NDULI IDD AMIN MAMA‼️
Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama baada ya kuona Maandalizi ya Maandamano ya 77 yameshika kasi, sasa wamesafirisha Polisi kutoka Mikoa mbalimbali na kuwaleta Dar ambapo wameweka kambi njee ya kituo cha Polisi Gogoni Kibamba.
Polisi hao wanalazwa kwenye haya matenti kama mnavowaona kwenye hii Video, hapo wanasubiria 77 na kwa mujibu wa maelezo yao wanasema kwamba Julai 7, mara hii hawatapiga watu risasi maana wamepewa maelekezo ya kukamata waandamanaji.
Kwa mantiki hii tukijitokeza kwa wingi, tumeshinda maana hawataweza kutukamata watu wote.
Halafu kwakuwa Polisi wengi wametolewa Mikoani na kuletwa Dar, huko Mikoani mkijipanga vizuri itakuwa zaidi ya Oktoba 29.
Hata wakati Tanzania ikiwa chini ya One Party System, nchi nzima HAIKUWA NYUMA YA CCM!
Pia Takwimu zako ni za uongo! Zaidi ya Watanzania 60% wamezaliwa wakati nchi ipo under Multiparty System, na vyama mbali mbali vimeshawahi kuwa maarufu; CUF, TLP, NCCR-Mageuzi & Chadema!! Kuna Watoto wamezaliwa hadi sasa ni grownups na wamejikuta ni NCCR kama ambavyo mtu anajikuta ni Muislamu au Mkatoliki.
Umaarufu pekee wa CCM sasa hivi ni;
1. Historical kwa kuwa chama kilichozaliwa kwa muungano wa vyama vilivyopigania na hatimaye kuleta Uhuru.
2. Kulazimishiwa kwa Kutotofautisha Serikali na Chama, Na pia kuendelea kukaa madarakani kwa Mabavu kwa kutumia Vyombo vya Usalama.
3. Generation mpya za Wasaka Tonge na Chawa, ambao wanawaza na kutaka fursa kwaajili yao binafsi na si maendeleo kwa wote, na ambao wanaamini hakuna mbadala wa CCM so wameamua kuwa join.
Other than that, hakuna kingine wanafanya wala kinachowapa umaarufu. Pia Mambo tunayochukizwa na kutoridhishwa nayo ni MENGI na sio Machache kama unavyosema; sijui ni unang’ata na kupuliza au na wewe ni chawa.. UTAJIJUA
Ila tunachukizwa na mengi, na infact yameingezeka miaka hii ya sasa baada ya wao wenyewe kuji-outperform kwa KUTEKA, KULAWITI, KUUWA WASIO NA HATIA, KUIBA CHAGUZI BILA AIBU, NEPOTISM, etc.
The Leader!!
Thobias Mwesiga kwenye ule ujumbe wake wa vitisho dhidi yangu alisema kwamba akimuachia Mungu nisimlaumu.
Nimejulishwa kwamba leo ni siku ya tatu yupo busy na Vijana wake wanazunguka zinguka ndani ya Jiji la Nairobi eti ananitufa mie ili waniteke na kunipoteza maana nimezidi kamdomo.
Sasa wewe muuaji umefunga safari mpaka Nairobi wakati mie umeniacha huku Temeke nakula zangu miguu ya kuku na viazi, mnachezea sana kodi zetu kwenye mambo yenu ya kipuuzi yani hayo mamilioni ya pesa ambayo mnatumia kila siku kulipa watu ili watuteke bora mngetumia hata kununua madawati maana kuna maelfu ya shule hazina madawati wanafunzi wanakaa sakafuni.
🚨 | Big numbers incoming for Ferrari. The new engine paired with Shell's updated fuel could halve the power gap to Mercedes. The Scuderia is just waiting on FIA sign-off to bring it to Austria, where they'll push the "hot" cylinder head concept even further.
Ferrari's steel alloy head already runs combustion temperatures well above the norm, with intake air hitting the intercooler at over 100°C compared to 60-70°C on conventional designs. From Austria, that ceiling rises past 115°C.
Combined with the bespoke fuel, the higher temperature and pressure in the chamber lets the engine burn more fuel particles per cycle, meaning more efficient combustion, fewer emissions and that extra power Ferrari have been chasing.
📰 @Motorsport_IT
BREAKING: Rasmi, Hazina haina kitu. Miradi yote ya Serikali imesimama. Wakandarasi wa ndani wananyang'anywa mali na TRA na Mabenki. Kazi zinazoendelea ni za wafadhili World Bank ADB nk. Yaani miradi yote imesimama. SGR nk Kwisha. Nchi imefirisika! Halafu bado kibano cha Mabeberu
🚨 | NEW: Ferrari will bring their first engine upgrade of 2026 to the upcoming Austrian GP.
However, this will only be the beginning of an aggressive development push.
[@Auto_Racer_it]
Leo 🇪🇺 Bunge la Ulaya European Parliament lapinga mpango wa kutoa msaada wa Euro milioni 156 (takribani TZS bilioni 484) kwa Tanzania mwaka 2026.
“Who are you” wanaendelea kujitambulisha wao ni wakina nani.
Nduli Idd Amin Mama anapigwa za uso kila kona yani leo lazima atakunywa sana K vant maana Wasaidizi wake wanasema akiwa na stress huwa analewa sana.
‼️🚨BREAKING NEWS EUROPEAN PARLIAMENT ADOPTS RESOLUTION TO SUSPEND FINANCING TO TANZANIA‼️
The European Parliament adopted a resolution, by a show of hands, on the draft Commission implementing decision on the financing of the annual action plan in favour of the United Republic of Tanzania for 2026.
In the text adopted in plenary today, MEPs note the Commission's decision in November 2025 to suspend the process for the adoption of its decision on financing for Tanzania in the wake of grave concerns expressed by MEPs, particular with regard to the conduct of Tanzania's fraudulent elections in October 2025 and the violent government suppression of demonstrations that followed, which resulted in the death of over 400 people, and hundreds arrested on charges of treason.
Thank you @Europarl_EN 🙏🏽 We the People are so grateful for your tireless efforts to ensure we get justice and this illegitimate govt is held accountable!
Tanzania amka ✊🏽🔥
Leo ndo wamepata jibu la Who are You hawa mafedhuli!
Na tutaendelea kubana hadi ipatikane HAKI hatutakubali!
#FreeTunduLissu #SamiaMustGo