Kwa kweli jambo (rizki) huteremka kutoka mbinguni mpaka ardhini kama matone ya mvua na kuifikia kila nafsi kiwango ilichogawiwa, ikiwa ni zaidi au pungufu, basi mmoja wenu anapoona kwa ndugu yake wingi wa watoto au mali au jamaa, basi jambo hilo lisimkere.(Maneno ya Imam Ali a.s)

A day to remember it's exactly one year today when I successfully finished my Qur'anic recitation and collected my certificate glory be to almighty Allah ❤️.