Nilikua naumia sana pindi ninapokataliwa mpaka siku nilipolielewa hili...
Kila Hapana niliyokuwa napewa kwenye michongo, biashara au mahusiano ilinifanya nijione sifai. Lakini mchezo ulibadilika kabisa nilipogundua siri moja kubwa sana kuhusu rejection.
Kuna kanuni moja ya kisaikolojia ambayo ukianza kuitumia leo, hofu ya kukataliwa itapotea kabisa na utaanza kuona fursa kwenye kila kikwazo.
Shuka nayo tujifunze🧵👇🏾
Bado tuna shida mahala sisi VIJANA . Inaonekana bado ngumu kukubali ule msemo
1: " Hii KEKI ni kubwa sana kila mtu atakata kipande chake na bado itabaki "
2: " Kwani kuna shida wote tukishinda / Kufanikiwa " ?
Upatikanaji wa hizi hela unafanya watu kuchukiana/ kuharibiana
Umezaliwa kati ya mwaka 1981-1996 ( Millennials)
Inasemekana hiki ni moja ya kizazi bora kabisa kuwahi kutokea
na huu ndio upekee ulionao…
1️⃣ KIZAZI KILICHOONA NA KUIISHI DUNIA KABLA NA BAADA YA TEKNOLOJIA
Waliona dunia kabla ya internet, bila smartphones, halafu wakakutana na digital world wakiwa wakubwa.
Wanaelewa biashara biashara za zamani (physical, watu, mahusiano) na wanaelewa biashara za sasa (online, systems, scale).
Millennial mzuri anaweza kuuza Mtaani / Kariakoo na akiingia mtandaoni anafanya vizuri.
2️⃣ NI KIZAZI CHA PROBLEM SOLVERS, SIO CHA KUFUATA MKUMBO
Millennials wameshuhudia soko la ajira likibadirika, degree zikishuka thamani jambo lililowalazimisha kufikiri tofauti, kubuni njia mbadala, na kuanzisha vitu bila mtaji mkubwa.
Ndiyo maana startups nyingi, biashara za mitandao, na freelancing zimeanzishwa na millennials
3️⃣ WANA UBUNIFU UNAOKANGANYA AKILI + HISIA
Millennials hawauzi bidhaa tu, wanauza story, experience, brand; wanajua watu hununua kwa hisia na wanajua loyalty haitoki kwa bei pekee
revealed reason:
ndiyo maana wanang’ara kwenye branding, content, marketing, na education business.
Sio kizazi cha kujichetua tu au kile cha kupuuzia mitandao kibiashara
4️⃣ WANA UELEWA MKUBWA WA PESA KULIKO VIZAZI VILIVYOTANGULIA
Ingawa wengi hawana pesa nyingi bado, uelewa wao wa fedha ni mkubwa kuliko wazazi wao walivyokuwa umri huo.
wanajua uwekezaji, wanajua assets na wanajua passive income
5️⃣ NI KIZAZI KINACHOPENDA UHURU KULIKO CHEO
Millennials wengi hawaguswi sana na title, wanaguzwa na freedom; wanataka muda wao, maamuzi yao, na pesa zao…
ndiyo sababu ujasiriamali, biashara mtandaoni na personal brands zinawavutia sana.
6️⃣ WANA UWEZO MKUBWA WA KUJIFUNZA UPYA (RELEARN)
Millennials hawana kiburi cha kusema “Hii sio taaluma yangu”, wanaweza kubadilisha kazi, kujifunza skill mpya, na kuanza upya, jambo ambalo ni asset kubwa sana kwenye dunia ya sasa isiyo na uhakika.
Utaona wengi Kazi wanazofanya sio walizosomea shuleni ila wako vizuri
…..
Sema nini…..
Millennials tujipe maua Yetu aisee… 🌺
Kwa wanaopenda kusali kabla ya kulala kwa kutumia vifungu vya Biblia:
Anza na ZABURI 121:7–8 ya ulinzi kamili wa Bwana mchana na usiku, endelea na LUKA 10:19 ya mamlaka dhidi ya nguvu zote za adui, kisha 2 WATHESALONIKE 3:3 ya kulindwa na kuimarishwa na Bwana aliye mwaminifu, malizia na MITHALI 18:10 ya kukimbilia Jina la Bwana lililo ngome imara.
Mwenyezi Mungu akufunike usiku huu, akuvike nguvu za mbinguni, akukinge na mabaya yote, na akuamshie ushindi mpya. 🙏🏽