@Adventure_36 Mnawezaje kuendelea na safari mwenzenu kapinduka badala mkaokoe maisha na dada anasema kabisa "twende inawaka moto" duh acheni Congo wawaue tu madereva hampendani kabisa ๐ค
@MWANAHARAK94164@Chahali Inshort mwamba ametoa code kuwa ukiteuliwa ubalozi maana yake hupendwi na umetupwa mbali ili upoteze influence na kuyajua ya system๐
@fbuyobe Inshort mwamba ametoa code kusa ukiteuliwa balozi maana yake hupendwi na hustahili kuyajua yaliyomo ndani ya system au unapunguziwa ushawishi๐
@fbuyobe Hivi Katina ya Bongo Rais akitaka kumbadilisha VP wake ni mpaka uchaguzi right au anaweza pigiwa kura ya kutokua na imani na wana sekretariati wa kijani๐
@George_Ambangil Aisee acha ulaya walipwe mabilioni tu dah hapa Africa ukishakandwa bao tatu zimelala hizo ila wamba wanaonyesha uwezo wa hali ya juu kwanza hawabutui kwa pressure wanakufunga kwa mfumo hamna cha own goal wala sjui linesman kakataa offside duh๐๐พ
@IAMartin_@Mikumifinest Vijana waliahidiwa million 5 alafu wakapewa advance elfu hamsini kuingia barabarani๐hata fundi hapokei hiyo advance kwa kazi ya million 5
@MichaelMwebe Seriously akamie kucheza tarehe 29 derby alafu arudi Dar kucheza tarehe 3 derby ambayo ina dalili za kupunguza point ya kupambania ubingwa, hata wewe ungekua mkurugenzi wa mashindano wa Simba ungechanganua Simba ipambane wapi๐
@joeselasini Kiprotokali hutakiwi kushika cheo cha askari mpaka uwe na cheo cha juu yake ๐คila kwa Raia ambae halijui hilo na hakudhamiria ni kumwelewesha tu yanaisha, huyo aliempiga bao ni wa cheo cha chini na mkubwa wake alimtazama kusubiria reaction atafanyaje mbele ya boss wake