Baadhi ya mashabiki wa klabu ya Simba wameanzisha kampeni katika mitandao ya kijamii wakishinikiza baadhi ya viongozi wa klabu hiyo waondoke (kujiuzulu) kwa kile wanachodai kuwa wao ndio chanzo cha Simba kufanya vibaya.
"Ulifika wakati viongozi walikuwa wananipangia kikosi walisema nisipompanga John Bocco nafukuzwa kazi, hata mechi ya Darby ni wao ndo walisema nimpange Aishi Manula. "
Tajiri @moodewji Simba haikui kwa kasi kama kipindi ambacho wewe ulikuwa Mkiti wa Bodi. Nini shida tunaamini wewe ndo umemteua Try Again lakini mbona maono yako hayatekelezeki vizuri? Au umezungushwa uwekezaji umekata tamaa? Boss timu ndogo kama Yanga zitatupita. #RememberTheName