Ukitaza video za huyu dada anavyokatwa mapanga huko nchini Haiti huta tamani kula leo siku nzima.
Dada zetu punguzeni tamaa na watu wenye pesa na usimuamini mtu huyu kauliwa na rafiki yake wadamu wenyewe wadada wamjini wanaitana (BFF)
Video Chini
#TajiriLaKihaya
Naomba mnieleweshe kwa utaratibu…usitumie hisia lets Reason Logically….
Kabla ya yale Madhila kumpata Cannabis…
Alikua anafanya SIASA zipi na Alikua Nani kwenye Chama cha Demokrasia na maendeleo??
Asilimia 98% tumemfaham baada yake… asilimia 1% walimfaham tu kama mkamaria… na 1% iliobaki tulimfaham kwenye lile parody lake la kike!
Binafsi nitakua wa mwisho kuamini kutekwa kwake kulihusiana na CHADEMA… infact sidhani kama kuna kiongozi wa Chadema alikua anamfaham!