Rodri is the best midfielder on the planet. I’m not talking best defensive midfielder, best holding midfielder, best attacking midfielder. Bring your 10s, your 8s, your 6s, whoever you want. Not a single one of them touches the intelligence, the sheer work this man puts in on that pitch. He’s killing off transitions and counter attacks like it’s nothing while simultaneously being the best metronome in the entire game. The gap between him and everyone else is enormous.
Hakimu Kiswaga: Tafadhali ishia hapo na usimtaje rais
Lissu: Nina maelezo ya zaidi ya kurasa 140 na ndio kwanza nipo ukurasa wa 70. Vumilia nisome... Ni wajibu wako tu kuandika na sio kunielekeza cha kufanya
Hakimu Kiswaga: Hii ni committal court.. Hayo mengine nenda nayo High court
Lissu: Mimi naongea, ukiona nakuchosha nisimamishe kisha iwe on record kuwa ulinipeleka mahakama kuu bila kumalizia maelezo yangu. Upande wa mashitaka umetumia zaidi ya siku 100, iweje masaa yangu machache iwe nongwa?
Naam,
Ndiyo ulivyokuwa mtanange leo hii katika kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu
Hakika Lissu alitema cheche....
Kwa mujibu wa maelezo ya Jamuhuri, kesi hii ilianza kusukwa na Senior Superintendent of Police (SSP) Kangio ambaye alidai kumsikia Lissu akitoa maneno kuwa:-
1. Polisi ni wanashiriki wizi wa kura kwa kuingia na mabegi ya kura feki kwenye vituo vya uchaguzi
2. Majaji ni MACCM
3. Kuwa wanachama wa CHADEMA "wakinukishe"
Kuwa, Lissu aliyasema haya kwa lengo la kuwahamasisha wanachama wa chama hicho kuzuia/kuvuruga uchaguzi
Pia kuwa, kauli hizo zilikuwa na lengo la kuchochea UASI wa wananchi kwa rais na serikali.
Askari huyu ambaye ndiye kama kiongozi wa wapelelezi katika jeshi la polisi, akatoa maelekezo kwa Inspector John Kaaya kufanya ufatiliaji wa jambo hilo
Huyu Isp. John Kaaya ni askari polisi katika dawati la DCI mwenye kazi maalumu ya kufanya doria mitandaoni.
Insp. John Kaaya katika uchunguzi wake, akabaini uwepo wa video mitandaoni iliyotumwa kupitia akaunti rasmi ya JAMBO TV ikimuonesha Lissu akitamka maneno hayo
Kwa mawasiliano yaliyofanyika baina ya wamiliki wa JAMBO TV na polisi, ikabainika kuwa mwandishi aliyechukua matukio yale yupo Dodoma
Taarifa hii ikafikishwa kwa askari aitwaye Ng'azi mwenye cheo cha Deputy Commissioner of Police (DCP) aliyekuwa makao makuu ya polisi mkoani Dodoma wakati huo
Kamishina huyu akashusha chini maelekezo kwa Insp. Andrew Chura kuhakikisha mwandishi yule anapatikana "by hooks and crooks"
Mwandishi huyu ambaye amepewa jina la uficho la P2 kama ile dawa ya kutolea mimba, alipopatikana aliwakabidhi polisi nakala halisi ya video aliyorekodi inayodaiwa Lissu alitoa maneno yale.
Video ile ikatumwa makao makuu ya polisi Dar Es Salaam kwa mtaalamu wa picha mnato na mjongeo ASP Samweli Kaaya
Ifahamike kuwa, kwa mujibu wa ushaidi, haya yote yalikuwa yakifanyika huku Mheshimiwa Tundu Lissu akiendelea na ziara za chama chake kukoleza moto wa #NoReformsNoElection
Huku nyuma ikiandaliwa namna ya "kumpa kichwa" kwa kushirikiana na shaidi wa kificho, msajili msaidizi wa vyama vya siasa Sisty Nyahoza
Lissu akiwa kwenye mkutano wa hadhara wilayani Mbinga, ndipo afisa wa polisi mkoani humo, ASP Lugano, akapokea maelekezo ya kuhakikisha anamkata Lissu akiwa mkutanoni
Uzi👇
THE COMMITTAL
SIKU MOJA MSAKI ALIPOST ANDIKO AMBALO LILIHUSU SINGLE MOTHER
WATU WENGI WALI COMMENTILA KUNA COMMENTS ZA MTU MOJA NDO ZILITEKA HISIA ZA WATU
FUATILIA COMMENT HIZO HAPO CHINI👇👇
📆 10 Seasons
✔️ 422 Appearances
⚽️ 108 Goals
🅰️ 177 Assists
🏆 Premier League, x6
🏆 League Cup, x5
🏆 Community Shield, x3
🏆 FA Cup, x2
🏆 UEFA Super Cup, x1
🏆 FIFA Club World Cup, x1
🏆 UEFA Champions League, x1
🎖️ IFFHS Men's World Team, x6
🎖️ FIFA FIFPro World 11, x5
🎖️ ESM Team of the Year, x5
🎖️ PFA Premier League Team of the Year, x5
🎖️ #ManCity Player of the Season, x4
🎖️ UEFA Champions League Squad of the Season, x4
🎖️ UEFA Team of the Year, x3
🎖️ Best Belgian Player Abroad, x3
🎖️ IFFHS World's Best Playmaker, x3
🎖️ Premier League Playmaker of the Season, x3
🎖️ PFA Players' Player of the Year, x2
🎖️ Premier League Goal of the Month, x2
🎖️ Premier League Player of the Season, x2
🎖️ UEFA Champions League Team of the Season, x2
🎖️ FSA Player of the Year, x1
🎖️ #ManCity Goal of the Season, x1
🎖️ UEFA Champions League Midfielder of the Season, x1
🎖️ IFFHS UEFA Team of the Decade
🎖️ Sports Illustrated Premier League Team of the Decade
Thank you for everything, @KevinDeBruyne! 💙
Bro kama unayo M15-18 usikimbilie kununua gari huku unaishi nyumba ya kupanga. Jenga Block yako (vyumba 2, sebule, jiko, choo) na hakikisha unapiga hatua kuelekea kwenye Jumba la ndoto yako.
Kila ndoto inaanzia kwenye hatua ndogo. Nakupa mchanganuo mfupi utoke nyumba ya kupanga.
BWANA HARUSI ALIVYOTEKWA NA KUPOTEA KIGAMBONI,DAR ES SALAAM.
Jina: VICENT PETER MASAWE
Umri:36yrs
Kazi: Dalali wa Magari.
Ni mkazi wa Kigamboni mtaa wa Ungindoni,amepotea tangu yarehe 20 November 2024 akiwa ametoka Kuoa katika ukumbi wa GOLDEN JUBELEE uliopo Mbezi Beach siku mbili kabla ya Kutekwa.
Alipokuwa Honeymoon alitoka mara moja kwenda kutafuta gari (Coaster) ya Kurudisha Wazee/Wakwe zake Mkoani Kilimanjaro baada ya harusi.
Muda mfupi akiwa mtaani anatafuta gari alipiga simu kwa mke wake ( Bi harusi) na rafiki yake Victor kwa namba ya simu +255 68 276 2979
kuwa alikuwa anafuatiliwa nyuma yake na gari aina ya Land cruiser hardtop huku yeye akiwa anaendesha gari yake yenye namba T 642 EGU.
Baaada ya kupiga simu hizo mbili za mke na rafiki yake,alipotea yeye na gari lake siku hiyo.
Ndugu zake walilipoti Polisi na kupewa RB no.KGM/RB/3707/2024,Wamejaribu kumtafuta vituo vyote vya Polisi hajapatikana
Wamemtafuta hospitali zote pamoja na vyumba vya kuhifadhia maiti lakini hajapatikana.
Mtu yeyote mwenye mawasiliano ampigie mke wake kwa namba +255 673 330 481