@MondayMood11@Larachess@fbuyobe ๐๐๐๐๐ haikuwa poa. ile shule hata form one akifika tu anakuwa snitch. afu uadui na walimu ilikuwa ndiyo policy nzuri ya shule yetu cz ukiwa karibu na mwalimu tunakuita "pipette " unahofiwa utakuwa jasusi na utatoa taarifa muhimu hivyo utapewa kipigo afu unachukiwa na shule
@MondayMood11@Larachess@fbuyobe Tuliuza sukari na John huko rwamulimi, Baruti, nyakato,saa 8 enzi hizo unaenda saa nane usiku kwa mwalimu wa chakula kuchukua key .Ticha anawapa key. Mnampa 20kg za mchele na sukari 10kg.. huu uporaji tuliufanya kwa makini sana ili tuendelee kupata pesa za kununua taarifa.
@MondayMood11@Larachess@fbuyobe John chacha mkuu wa intelegensia, julius okore jasus mwandamizi alisumbua sana pale Udsm. Bhoke wangwe huyu ni mdada alileta taarifa zote za songe.. Chacha Melama jitu refu ktoka Tarime huyu alileta taarifa kutoka Mara sec.. tuliuza sana sukari ili kuhudumia hawa watu๐๐
@MondayMood11@Larachess@fbuyobe Musoma tec tulkuwa na motto wetu.kiongozi wa pambano akiita Tech.tunaitikia solidarity forever. au tech..tech mnaitika bonge la mtabe.. nikiwa. Rais wa serikali ya tech nilhamasisha vawulance na Raia๐๐. Nilikuwa na kikosi cha ujasusi Mara sec,Songe girls na Uraiani.
@Larachess@MondayMood11@fbuyobe kwa kifupi shule za boys zilikuwa changamoto sana.. Musoma technical ilikuwa ni valangati mtu, tulikuwa marinated na Songe Girls ili kulower acidity PH.baada ya hapo lazima itokee tifu la kibabe nimeshuhudia vifo vya wanafunzi 2 na wanakijiji kadhaa wengine wakipewa ulemavu.
@Larachess@fbuyobe ๐๐๐๐ Fuji fuji...kodak.. agfa enzi za kusafisha negative enhee. enzi hizo makamera man walitembea nyumba hadi nyumba..tuliwahi kupiga picha tukiwa shambani.. aloooo acha kabisa ..
@Larachess Unaukumbuka "zali" ni msamiati wa zilizobamba enzi hizo player na santuri generation then cassette generation.. hakika enzi zilikuwa tamu..wakati huo batiki inaitwa "kaunguza"
ukimwi unaitwa Julianna,slim, Aids
Unasikia ametoka mjini na slimu
Alesata Aids ๐๐ @fbuyobe