Haya ma genius wa hesabu tujuane mapema kwenye comment section na tulio tegea vipindi vya hesabu pia tufahamiane mapema kwenye comment 👇👇😂😂
Haya twende kazi.
#tanzania#glorypads#hedhisalama
Msichana mrembo wa kiafrika ni nani.?
Msichana mrembo wa kiafrika ni yule mwenye kujivunia kuwa na hedhi au kuingia siku zake na mwenye kujiamini wakati wote.
Na pedi tiba za Glory ndio siri kubwa ya kuwa msichana mrembo wa kiafrika.
#pad#pads#sanitarypads#menstrualcycle
MSICHANA: Changamoto kutimiza ndoto zako ni mwiko Glory tunakupambania katika hili.
Pedi tiba za Glory zinafyonza maradufu na kukuweka mkavu wakati wote.
Furahia safari ya kutimiza ndoto zako ukiwa na Pedi tiba za Glory.
#pad#pads#sanitarypads#menstrualcycle#sanitarynapkin
Kuwekeza kesho yako kunamaanisha kuwekeza kwa watoto wetu, Glory tunahakikisha tunaondoa changamoto zote kwa watoto hususani watoto wa kike katika kufikia malengo yao.
#sikuyawatotoduniani
Kujiamini kunachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku. Glory, tumenzingatia hili kwa kukuletea bidhaa yenye ubora wa hali ya juu na tunahakikisha unakuwa mwenye kujiamini wakati wote hata kipindi cha hedhi yako.
#pad#sanitarypads#menstrualcycle#sanitary
Tunafurahi kuona unafanikiwa na tunajivunia mafanikio yako. Glory, tunaendelea kukukinga dhidi ya vikwazo na changamoto zote za hedhi kwa kukupa elimu juu ya hedhi kupitia program za hedhi salama na Pedi tiba asili za Glory zenye ubora wa kimataifa.
Tunafurahi kuona unafanikiwa na tunajivunia mafanikio yako. Glory, tunaendelea kukukinga dhidi ya vikwazo na changamoto zote za hedhi kwa kukupa elimu juu ya hedhi kupitia program za hedhi salama na Pedi tiba asili za Glory zenye ubora wa kimataifa.