Leo Zambia🇿🇲 wanapiga kura kwenye UCHAGUZI wao mkuu.
Raisi aliepo madarakani HAKAINDE kajaza wanajeshi na mapolisi mitaani hasa ukanda wa coper belt ambao hakubaliki.
MUNDUBILE ndie mpinzani wake mkuu kwenye huu uchaguzi ambae anaungwa sana mkono na wananchi wengi.
Hi Watanzania, kwa sasa niko busy mnooo na jambo la msingi, very soon mtajua nilikuwa busy na kitu gani.
So kwa sasa I’m not focused kwa kudai haki huku kwenye social media, nipo busy napambana kiundani zaidi..:.:
Soon wote mtajua what was keeping me busy. And it will be great news to Tanzanians, GOD WILLING.
Kumbe shahidi wa ushahidi wa ziada upande wa Jamhuri kwenye kesi ya Lissu ni marehemu!?
Kamishina msaidizi wa polisi Amini Mahamba aliyekuwa ameandaliwa na upande wa jamuhuri kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Lissu amekufa hata kabla ya october 29
Mwinjilisti Kamara Kasupa amebainisha hayo katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii kuwa kamishina Amini Mahamba ni clasmate wake wa o.levo na ameshafariki
Hivyo basi ushahidi ungeruhusiwa ungewasilishwa kwa njia ya recoded kitendo hicho kingekuwa ni kuhalifu sheria na pia wangeumbuka maana ningempelekea wakili wa Lissu hati ya kifo ili kuwaumbua ameandika Kamara Kasupa
@Maurice21166600@KissailohIdd@kikomasta Hao Walilala Vitani Hahahaha Na Kichapo Walipewa Wakiwa karibu Na Mpaka Wa Nchi Yao Imagine... BTW kama Nchi Tunatakiwa Kuwekeza kwenye Technolojia zaidi
@Maurice21166600@KissailohIdd@kikomasta Soma Battle of El Adde Imetokea 2016 Tu Hapo Wanajeshi Wa Kenya Zaidi Ya 200 Walipoteza Maisha Hapo Somalia Alafu Unasema Wameshinda Misheni
@Maurice21166600@kikomasta Jeshi La Kenya Liliingia Somalia 2011 – May 2012 (Operation Linda Nchi) Kilichowakuta Unakijua! Wenyewe Wakabadili Gia Angani Kujiunga na AMISOM Ili Kichapo Kipungue Na 2013 Hao Alshabab Wakapiga Westgate Kama Kuwapa Onyo Wakenya Kifupi Ukitoa Vifaa Vya Kisasa Hakuna Jeshi Kenya.