VIDEO:
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo ameishauri serikali kuhamisha msisitizo wake kutoka kwenye miundombinu ya kiwango kikubwa na kuelekeza nguvu katika ustawi wa kiuchumi wa raia mmoja mmoja.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka wa fedha 2026/2027 Bungeni leo Juni 1, 2026, Sigrada amekosoa kodi mpya zinazohusiana na bandari ambazo zinapandisha gharama za maisha, akijenga hoja kuwa maendeleo ya kweli yanapaswa kuakisi maono ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuboresha maisha ya kila siku katika ngazi ya chini kabisa ya jamii.
Kwa kuangazia kusahaulika kwa makundi yaliyo katika mazingira magumu kama vile watu wenye ulemavu, na kinyongo cha vijana wasio na ajira, mbunge huyo ameonya kuwa kushindwa kushughulikia ugumu huu wa kijamii na kiuchumi kutasababisha machafuko makubwa ya kijamii zaidi ya yale yaliyotokea siku za nyuma.
Anaitwa Larry Modowo mwandishi wa habari kutoka Kenya ambaye ameshiriki kikamirifu katika uandaaji wa Documentary pale CNN ya kile kilichotokea tarehe 29, Sisi kama Watanzania tunashukuru sana hatuna cha kukulipa zaidi ya kukuombea kwa Mungu akufungulie milango zaidi.
Daenerys Targaryen aka THE MAD QUEEN…
Alikuwa mzuri, kijana, jeshi la Dothraki, Dragons na Chawa ka wote. Ila mwisho wa siku akawachoma moto Wananchi aliokuwa anataka kuwaongoza pale King’s Landing.
What is the point of becoming Queen, and then kill the people.. is it to RULE OVER ASHES & RUBBLE? #GameOfThrones