@VodacomTanzania Kwanini mmekuwa mnatuibia hivi jaman.nilikuwa na Gb 1 nikaingia facebook na Instagram ndani ya dakika 45 zimeisha @TCRA_Tz naomba wachunguze hawa wanatuibia na ntahamia @Tigo_TZ au @Haloteltz.maana niliwapigia wanasema heti internet yao ya kasi zaidi.kama mnabisha 0752638681