Tanzanians marked their Independence Day under lockdown, with heavy security, social media restrictions, and unsanctioned gatherings outlawed to stifle expected protests. Recent deadly violence and this week's nationwide clampdown show Tanzania is neither stable nor a place where U.S. investment can thrive. This puts hundreds of American companies at risk and makes it clear the urgent need to review the bilateral relationship and U.S.-backed investments.
Wahusika wa kutoa amri zisizo halali, au kutekeleza vitendo vinavyokiuka sheria, wanapaswa kujibu kwenye vyombo vya sheria vinavyoheshimiwa vya ndani au inapobidi vya kimataifa kwa mujibu wa taratibu za kisheria, si kwa visasi wala mihemko.
9 DISEMBA SIKU YA UHURU WA TANZANIA
Kila tarehe 9 Desemba ni siku ya kihistoria na ya pekee kwa Taifa letu la https://t.co/czYRwzeGJy siku ya kukumbuka na kuadhimisha Uhuru uliopatikana mwaka 1961 bila kumwaga hata tone moja la damu.
Inaendelea 👇🏽👇🏽
binadamu,Taifa limeumia, vijana wameumia, na majeraha haya hayawezi kufutwa bila uwazi,bila kusikilizanana bila watu kuwajibishwa.
Suluhu ya kudumu inaweza kupatikana pale ambapo haki inasimamiwa,Wananchi wanaopoteza maisha au kuumizwa wanastahili kusikilizwa.