@MariaSTsehai Haya maandamano isiwe 7/7 tu, iwe na kuendelea tuone kama watakaa barabarani siku zote. Siku wakichoka wakasepa uwe kama mchezo wa paka na panya watu wamwagike kama wote maana hata askari walioletwa kutoka mikoani watakuwa hawapo. Tarehe ibadilishwe fasta.
@MangiwaKwanza1 Hawa walikwisha tumika hawa hitajiki tena..wameona bwana yao kawapotezea sababu yeye ana angalia chama chenye wananchi, hawa hawana watu kwa hiyo wana jaribu kutikisa kiberiti kama alivyokuwa akifanya Mbowe akiwa mwenyekiti CDM ili wapewe deal lingine.
@HecheJohn Nashauri kamati kuu ije na tako la maandamano ambapo mtamke baada ya yale ya wananchi ya 7/7 yenu yapewe siku maalum kwa week, kama ni mara 2 kama yale ya ODM Kenya kipindi cha Odinga au mfululizo. Lakini pia ombeni usaidizi wa USA iwapo watu watafanyiwa ya October 29.
@MariaSTsehai Kwa namna matukio yanavyo endelea Tanzania ni hivi hivi ilivyokuwa Rwanda kuelekea 1994 genocide. UN walipuuza viashiria baadae wakaishia kuomba radhi kwa kutochukua hatua mapema. Kwa Tanzania ICC ikitoa arrest warrant mapema pressure za kufunika ya Oct.29 zitaishia hapo.
@HildaNewton21 Nakubaliana kabisa na WACHOKONOZI kuhusu dini ya huyu jamaa na dini nyinginezo..hakuna dini hapo ni pure satanic, refer yule mtunzi wa kitabu cha "satanic verses" wa Africa tujikomboe kutoka kwenye hizi dini.
@AbroadTanzania Nawaunga mkono WACHOKONOZI kwa namna walivyo fafanua na kuichambua dini ya hawa mashetani na nyinginezo..hapo hakuna dini ni satanic..waafrika stukeni
@lwaitama1@AbroadTanzania Well said Doctor..busara ni muhimu sana. Chadema wame tamka wazi kwamba maandamano yao yapo na muda ukifika watatangaza ratiba kamili. Maandamano ya 7/7 ni ya wananchi ambapo viongozi wa CDM tayari kuna walio hojiwa kuhusu kuyapanga. Mtu anavyo taka wayaunge mkono wazi hajui...
@millardayo Yeye binafsi na wenzie wakaombe visa basi ya kwenda Marekani halafu aje aseme tena kuwa mahusiano ni mazuri.
Kwanza tunako elekea atakaye associate na ccm na serikali yake ni hatari kunaweza kukuharibia usiweze kuingia Ulaya na Marekani na hata mali zako kushililiwa zikiwa kule.
@BrendaRupia Chui chui na wafunga buti wengine ndio wana tuchelewesha kufikia nchi ya ahadi. Wananchi wana jitahidi sana ila hawa ndio kikwazo.
Kizuri mbinyo wa kiuchumi baada ya ziara hii utawafikia wao pia.
@Sativa255 Kwa pressure za Ulaya na Marekani angetulia kufanya hii ziara sababu kaonyesha kachagua upande upi. Mugabe alifanya kiburi akijua China na Russia watamsaidia kiuchumi, wote tulishuhudia kilicho mpata. Russia na China husaidia tawala zinazo kubalika na wananchi mfano Traore.
@HecheJohn@lifeofmshaba Na uzuri kikiwaka hawawezi kupata visa Ulaya wala Marekani tutabanana humu humu..wakati wanao mtuma wakikwea mapipa na kukimbilia uarabuni ambako kunafikika kirahisi yeye atakuwepo. Tarehe 7 July siyo mbali...Gen Z watamsalimia yeye na familia yake.
@mangekimambi Well said Dada.. Mpina na Madeleka wako in the wrongside of the fight..kama hawato fanya maamuzi magumu ya kuachana na ACT basi wasiendelee kutupigia kelele manake tunawaona kama puppets..hawato kuwa tofauti na Mbowe aliye tukunjisha ngumi kumbe yuko upande wa madhulumati.
Sasa fikiria kuna watu wanajiita wabunge wanatamba na ubunge ambao walipata kwa kumwaga damu za watu.
Asante MCHUNGAJI kwa kuja kuongeza sauti ya kukemea MAOVU kwenye nchi. Hujachelewa tunakutegemea kwenye hii safari ya kupambana na WAKOLONI WEUSI.
REPOST 200
@TitoMagoti Msimzodoe amefanya uamuzi sahihi. Kuliko kufia ccm kwa mashetani vema katubu. Wote tunajua na iko kwenye record, shida yake mpaka kuhama haikuwa sera za chama bali Mbowe ambaye alijimilikisha chama na kufanya kazi ya ccm.
@MsigwaPeter@HecheJohn Nikupe hongera sana mchungaji kwa maamuzi thabiti na shupavu. Usijali maneno wenye kusema acha waseme. Wote tunajua uliondoka Chadema kumkimbia Mbowe, kumbe uliko kimbilia ndio kwao alifanya kazi yao. Ulidhani una mkomoa. Tume kusamehe rudi nyumbani.