@mdudechadematz Kijana huyu Mtoto wa Waziri wa Fedha anapanda School Bus hajawahi kupelekwa shule na Gari la serikali. Kama Mzazi wako ameaminiwa kuwa Waziri wa Fedha kwann mtoto asipate elimu nzuri!?Kipato chake kama Waziri kinatosha kumpatia kijana wake Elimu bora.
โBila kujali UWEZO wako ni MKUBWA kiasi gani, lazima kuna watu ambao HAWATAKUAMINI katika hatua fulani ya maisha yako.
Unachotakiwa kukumbuka ni kuwa, kuna watu watakukubali pale watakapoona UMESHAKUBALIWA NA WENGI.โ Ahsante Joel Arthur๐๐พ๐๐พ๐๐พ
UFARANSA: Rais Emmanuel Macron ameahidi kutoa Euro bilioni 20 sawa na Tsh. Trilioni 51 ili kudhibiti ongezeko la bei ya umeme na gesi
Ameahidi kuwapatia marupurupu yasiyokatwa kodi watumishi wa umma na kupambana na mfumuko wa bei
Soma - https://t.co/ks2ayQgSnN
#RussiaUkraineWar