@emabilly2001 BRO TO BRO
Unapokataliwa kwenye mahusiano haimaanishi hufai. Inamaanisha tu hapo haikuwa sehemu yako au wakati wako. Thamani yako haipungui kwa sababu mtu haijaiona. Respect their choice, preserve your dignity, and move on
- Soma vitabu
- Angalia video Youtube
- Sikiliza Podcast
- Jiunge na kozi za mtandaoni
- Soma makala kuhusu kile unachojifunza
Lakini kumbuka kuwa njia bora ya kujifunza kitu chochote ni kufanyia kazi kile unachojifunza.
SPORTYBET🇹🇿:
5X13VM -Odds 160🔥
5QKQSQ -Odds 40💰 (Edited from 163)
ZA ZIADA:
61TVAC -Odds 140🔥
5ANSD2 -Odds 60💰
Keep cool, select the right plays, and wait for the boom under the grace of Almighty God.🪐🙏🏿
Hakika mkongwe kazini Almost 39M comming home ni booom boom situation
Odds 79 stake 270k =21M+
Odds10 stake 1.7M =17M+
Kwa VIP group dm apo ni 30k
Kwa free group link kwa bio
Repost wengi waone asante
Wanaume,
Tuwe na mazoea ya kujitunza na kujipenda baada ya kufanya kazi na kupata chochote kitu.
Chukua likizo. Nunua simu kali. Vaa vizuri. Umepambana, umestahili. Tumia pesa zako kwa ajili yako bila kuhisi kama unakosea..
Kataa unyonge.