๐จ ๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐: ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐
๐๐ ๐๐๐๐๐ฉ๐๐ฅ๐ฆ ๐ข๐ก๐๐ ๐๐๐๐๐ก ๐๐ก ๐ง๐๐ ๐ช๐ข๐ฅ๐๐ ๐๐จ๐ฃ ๐๐ก๐ข๐๐-๐ข๐จ๐ง๐ฆ ๐ช๐๐ง๐ โฝโ๐ ฐ๏ธ
And he scores his 20th World Cup goal in his 20th World Cup game ๐ฎโ๐จ๐
๐จ๐จ| Kylian Mbappรฉ scores to move ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ of the Golden Boot race with 8 goals โ level with Lionel Messi, one ahead of Erling Haaland! โฝ๐ซ๐ท
๐๐๐๐๐๐ ๐'๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐
๐ ๐๐๐ฃ๐ฃ๐ & ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ข๐ ๐๐๐ก๐ ๐ข๐ก๐๐ ๐๐๐๐๐ก ๐ฅ
They have now combined for three goals at this World Cup ๐ฎโ๐จ
#TajiriLaKihaya
Kuna AGENDA huwa inapushiwa kwamba MOROCCO wamekata wao hawachezi kwa niaba ya Africaโฆ ilhali ni Uongo hawajawahi sema hivyo!
Na ukimuuliza huyo mtu leta VIDEO akisema maneni hayo โฆ Hana zaidi ya Tweet ya kizushi๐
Morocco wenyewe wamekataa sio kweli.. wao ni wa AFRICAโฆ
Na leo tuna wasupport wamtoe FRANCE๐ช๐ฝ
Maelfu ya Wananchi wa Iran leo Julai 9, 2026, wamekusanyika katika Mji Mtakatifu wa Mashhad kushiriki mazishi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi hiyo, Ayatollah Ali Khamenei, aliyefariki dunia kufuatia shambulio la bomu lililotokea Februari 28, 2026.
Mazishi ya Khamenei yanafanyika katika eneo la Shrine of Imam Reza baada ya maombolezo yaliyodumu kwa takribani wiki moja na kupita katika Miji mitakatifu ya Najaf na Karbala Nchini Iraq kabla ya kuhitimishwa Mashhad, Mji aliozaliwa Kiongozi huyo.
Wakati Khamenei akizikwa, hatma ya mrithi wake na Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, Mojtaba Khamenei imeendelea kuwa gumzo Nchini humo kutokana na kutokujitokeza hadharani tangu kuanza kwa vita vilivyosababisha kifo cha Baba yake, huku ripoti zikieleza kuwa bado hajajitokeza kwa sababu za kiusalama na afya.
#MillardAyoUPDATES
๐๐ป Enhorabuena por el Mundial que te has marcado faraรณn.
๐ Orgullosos de que el mundo reconozca tu talento.
๐ก Nos vemos en casa.
#RealOviedo ๐ตโช๏ธ
Kamati ya Maandalizi ya Tamasha kubwa la miaka 30 ya Bongofleva linalotarajiwa kufanyika Mlimani City Dar es salaam kesho Ijumaa, imethibitisha kuwa tiketi za Tamasha hilo zimenunuliwa zote na Watanzania wapenda muziki na kumalizika jana hivyo hakuna tiketi zozote zinazouzwa zaidi ya hapo.
Mmoja wa Wanakamati Mbunge Hamisi Taletale, ameiambia @AyoTV_ yafuatayo โkikubwa tunachomshukuru Mwenyenzi Mungu mpaka hivi sasa tiketi zote zimeisha, huko nje huko yeyote anayetaka kukuuzia tiketi, hiyo ni ya wiziโฆ hatuna tiketi VIP, hatuna tiketi sijui regular, tiketi zimeisha Mlimani City is parkedโ #MillardAyoUPDATES