1950.........Wakati wa harakati za Kupigania uhuru mara Bada ya kuacha kufundisha shule ya St.Fransis(Pugu secondary Kwa Sasa)
Kuna Vitu amazing sana,Tembelea uone
Hapa ni nyumba ya Makumbusho ya Mwl.Nyerere(Magomeni)
Hicho ni Chumba na Kitanda alichokua akilalia Mwalimu miaka ya 1950........UZI
#domestictourism🇹🇿@museumtanzania@tzparks