๐๐ฟ
I work at NMB โ, I Work at The Most Profitable Bank In ๐น๐ฟ, NMB โ
Iโm a Finance Manager at Sportpesa Tanzania โ, I manage Sportpesaโs Finance where we transact over 700 Million TZS every day in Tanzania โ
Naomba Kazi ya Kukutafutia masoko โ, Naomba Nikusaidie kupata wateja wapya 100+ โ
Kazi Yangu Ni Kufagia Ikulu โ, Kazi Yangu Ni Kuhakikisha Ikulu Ipo Safi Wakati Wote โ
Nauza Karanga โ, Nauza Virutubisho Vya Kuongeza Nguvu Za Kiume โ
Bonus
Mimi ni dereva wa boda boda โ, nawasaidia watu kuepuka foleni za Dar na kufika wanakokwenda kwa haraka na kwa unafuu โ