Msikilize Mzee Lee Kuan Yew, jamaa aliyeifanya Singapore ikawa vile ilivyo leo. Kwa ufupi, anasema Mwalimu Nyerere alikuwa mtu mzuri na mcha Mungu lakini alikuwa na sera mbaya ya uchumi isiyoendana na uhalisia wa nchi yake.
Anasema wakina Nyerere, Kaunda, na wengine hawakujua kwamba uchumi unatengenezwa na wajasiriamali katika soko la ushindani, badala yake, wakakimbilia UJAMAA wakidhani ni njia ya mkato.
Anasema hawa jamaa walikubali kuendeshwa na nadharia badala ya kuangalia uhalisia. Kwa lugha nyingine, anasema maendeleo ya nchi yanahitaji PRAGMATISM, sio DOGMATISM.
Speech yote https://t.co/kCPWTCco3F
Foundational skills development and remediation are essential for success in TVET, higher education, and the workforce.🤷♂️💡So, how can governments ensure that everyone has these so they can thrive in the 21st-century economy? 📚💻
https://t.co/bZWpPhhqPO
For those who like parroting that freedom has its limits, surely the freedom to limit freedom should also have its limits. Banning everything in sight because it offends the sensitivities and exposes the powers that be should be limited also.
@bwaya Ni kama golikipa. Unaweza kucheza vizuri mchezo mzima, mwanzo hadi mwisho. Lakini ukafungwa goli la kizembe dakika za majeruhi na timu ikatolewa mashindanoni. Utakumbukwa zaidi kwa hilo kosa kuliko kwa yale magoli lukuki uliyookoa!