Kuna Life Style fulani hivi Inaleta AMANI Sana......
Unaishi Maisha YAKO huna taarifa za watu wengine hata Wao hawana taarifa zako. Afu You Don't care kelele za mtu. Pesa Kidogo ya kula wali maharage Unaridhika, Uko bussy Kutimiza ndoto zako,Kuhakikisha familia yako Ina Amani
Majibu ya timu gani yenye mashabiki wengi Tanzania mnaweza kuyapata kwenye hizi parade zao. Mnabeba kombe baada ya miaka 5 na bado barabarani hakuna watu.
Kwenye biashara
Kazi ngumu kwa kiongozi( CEO) ndiyo kazi rahisi.
Biashara nyingi hufa baada ya kiongozi kuacha kufanya mambo magumu
The hard thing about hard things
Tzs 25,000
Silent Generation (pre-1946)
Still serving on boards;
shaped by duty and discipline
Baby Boomers (1946–1964)
~12% of today’s workforce;
value stability, loyalty, and legacy
Gen X (1965–1980)
~27%; independent, pragmatic,
delivery-focused
Millennial (1981–1996)
~34%; purpose-driven,
collaborative, growth-oriented
Gen Z (1997–2012)
~27%; inclusive, tech-native,
values transparency
Gen Alpha (post 2012)
The emerging workforce—
digital-first, fast-learning,
entrepreneurial
Kuna hii app inaitwa Reezn.
Ina work like magic, ipo app ya simu, na TV.
Ina hadi channels za nje, yani hamna haja ya kulipia King'amuzi.
Kombe la Dunia unaliangalia humo!
Na Movies na Series za kutosha!!!!!
Bundle lako tu!!!