Anaongea Mmama mwenye hekima 🗣️
" Kati ya kitu kinachoumiza wanaume wengi ni mwanamke ambae sio mtiifu, wanawake wengi huhisi kufanya hivyo ni kua na msimamo ila ukifanya hivyo mwanaume anaanza kukuona kama dume mwenzake"
----------------------------
Kitu gani kingine kinakuumiza kutoka kwa mademu?