Hausomi neno la Mungu, kutafakari wala kuchambua maandiko na unategemea kuelewa sauti ya Mungu. Mungu hawezi kuzungumza na wewe kama humwelewi. Mara nyingi sana Mungu amejaribu kuongea na watu lakini hawakumwelewa. Kaa katika maarifa ya neno utamwelewa Mungu (Zab 119:130)
Ulimwengu wa roho ni kama akili ndani ya ubongo, ingawa akili haionekani lakini matokeo yake yanaonekana. Magari, ndege, pikipiki hivyo vyote ni matokeo ya akili. Vivyo hivyo ulimwengu wa roho huamua matokeo ya maisha ya watu hata ingawa hauonekani kwa macho ya nyama.
Samsung S24 Ultra
256GB|Ram 12GB
Black Color
Tsh 1,450,000/= tzs
NB:Mikoani tunatuma malipo
Baada ya kupokea
Free Charge, Cover & Protector ๐
Exchange & Top up allowed
๐/Whatsapp 0683678977
KINDLY REPOST ๐บ๐ท๐
๐ค Respect beyond football. โค๏ธ
As Spain celebrated their World Cup triumph at full-time, Lamine Yamal walked over to Lionel Messi to shake his hand.
Messi saw him coming, stood up, and embraced the young champion. ๐
A legend showing respect to the next generation. ๐
#WorldCupwithMicky #FIFAWorldCup
Just 10 ni ngumu. But here is my gospel playlist halfway through the year.
1. Lead me-Moses Luka ft Melanie Anthony
2. Nakupenda Bwana-The Unveiled
3. Strong Tower-Kestin Mbogo
4. Niguse-Roland Robert
5. Neema menitosha-AIC Tabora
6. Unajibu Maombi- Goodness Mshana
Eeh Mwenyezi Mungu, Naomba neema yako iniongoze leo.
Nipe nguvu ninapokuwa dhaifu, hekima ninapofanya maamuzi, kibali katika kazi ya mikono yangu, na moyo wa kubaki mwaminifu kwako.
Nifundishe kutegemea neema yako kuliko uwezo wangu.
Katika jina la Yesu Kristo, Amina.๐๐ผ
From Kigoma to Dar es Salaam โ Tone Tone rally . The Chevy Pickup will be there. Endelea kuchangia CHADEMA Baraza Kuu kupitia M- Pesa CHADEMA HQ: 0744 446 969.
You got a G-Wagon. We got a seriously powerful machine. ๐ Respect your elder, bro!! ๐
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Oya Mkato @Roma_Mkatoliki, huu muwa nishagakuambia tunataka second version. Ghetto gospel inahitajika sana mtaani sasa kuliko wakati mwingine๐๐ผ๐๐ผ๐ซก