Mkuu wa Kamandi Ya Jeshi la Anga ni Meja Jenerali Shabani Baraghashi Mani.
Huko ndo anapewa sapoti Bi Kizimkazi aka Mwuaji In Chief hadi kumhifadhi if need be!
Sasa ishu ya helikopta za kijeshi kuzurura kabla ya #D9 ?
Sisi tuna wajibu wa kuendelea na harakati kama wananchi kwani #WenyeNchiWananchi
#D25 #J1 #SamiaMustGo
Huu ni muhtasari wa athari za kiuchumi za kuzimwa kwa mtandao Tanzania siku na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025
▪︎ Nini Kilitokea?
•Tanzania ilikumbana na kuzimwa mtandao nchini kote wakati na baada ya siku ya uchaguzi mkuu kuanzia 29 Oktoba hadi 3 Novemba 2025, na intaneti ilizimwa kwa takribani siku 5-6
•Mtandao wa kijamii wa 𝕏 (zamani Twitter) umefungwa nchi nzima tangu 21 Mei 2025, huku kukiwa na upunguzwaji wa kasi ya mtandao (bandwidth throttling) kutoka kwa watoa huduma (ISPs)
▪︎ Hasara za kiuchumi
•Kwa mujibu wa Paradigm Initiative (PIN) na data kutoka NetBlocks Cost of Shutdown Tool (COST), hasara ya pamoja kutokana na kuzimwa kwa mtandao na kufungiwa kwa mtandao wa 𝕏 inazidi US$238 Milioni (takribani TZS 560 bilioni)
•Kuzimwa kwa mtandao pekee yake kunakadiriwa kugharimu takribani US$72 Milioni (takribani TZS 178 bilioni) kwa siku 5 za kuzimwa kwa mtandao - karibu US$13.8 Milioni kwa siku
•Kufungiwa kwa mtandao wa 𝕏 (the ongoing suspension of 𝕏) kulichangia hasara ya takribani US$165.8 Milioni (takribani TZS 390 bilioni) katika hasara za kiuchumi (economic losses)
▪︎ Nini kiliathirika?
•Kuzima mtandao kuliathiri sehemu kuu za uchumi wa kidijitali
•Uzalishaji na biashara katika majukwaa ya mitandaoni
•Huduma za malipo ya kifedha za kidijitali ambazo ni biashara kubwa na nyingi na watu binafsi hutegemea
•Huduma za afya na kijamii zinazotumia mifumo ya mtandao
•Minada ya kilimo na mauzo ya nje – biashara ya korosho, ilihairishwa kutokana na kukosekana kwa mtandao
▪︎ Maoni, hatua muhimu
•Makundi ya haki za kidijitali yanaeleza; kuzima mitandao kunakiuka uhuru wa kujieleza, kupata habar na haki ya maendeleo chini ya mifumo ya haki za binadamu ya kikanda
•Hatua za kisheria zimechukuliwa kupinga amri na uhalali wa kuzima mitandao – mashauri yamefunguliwa Mahakamani
•Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imefungua kesi Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ)
•Tanganyika Law Society (TLS) wamefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam.
▪︎ Kwanini ni Muhimu?
Wachumi na watetezi wa haki wanaonya kwamba, vikwazo vya kujirudia katika matumizi ya huduma za kidijitali vinaweza;
•Kuzuia uwekezaji katika sekta ya teknolojia
•Kudhoofisha uaminifu katika masoko ya kidijitali
•kuzima ubunifu na ujasiriamali, miongoni mwa wafanyabiashara wadogo na watengeneza maudhui wanaotegemea majukwaa ya mitandao ya kijamii
Hapa ni Dodoma.
Serikali haram imejaza Polisi kwenye ukumbi wa NEW GENERATION HALL ulioandaliwa kwa ajili ya UCHAGUZI FAKE wa kuwapata viongozi wa Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania.
Wafanyabiashara wa Kariakoo na maeneo mengine nchini wamegoma kuwa sehemu ya huu ukandamizaji hivyo hawajafika kabisa.
Nduli Idd Amin mama na washirika wake wanavuruga kila mahali.
Leo wanataka kumpitisha kibaraka wao ambae anaitwa Livembe kwa gharama yoyote ili waweze kudhibiti sauti za Wafanyabiashara wa Tanzania.
Sasa siku ya Maandamano wafanyabiashara wote nchini mnapaswa kutoka kwa wingi ili tumwondoe huyu Dikteka wa kike ambae anaharibu nchi yetu.
Mnamo tarehe 15 Desemba 1995 niliapishwa na Jaji Mkuu, Francis Nyalali, kuwa Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mahakama za chini yake isipokuwa Mahakama ya Mwanzo. Leo imetimia miaka 30. Ninasema Asante kwa Mungu Mwenyezi kwa Baraka na ulinzi wake kuweza kufanya kazi hii.
Asante kwa wote walioniamini na kunipa kazi ya kuwatetea katika kesi zao. Nimeona mengi jinsi Sheria ikitumika vizuri ni chombo Cha ukombozi na pale haki inapondishwa basi ni chombo Cha unyanyasaji na dhuluma.
Kama mawakili tuna jukumu la kuhakikisha haki inatendeka na kuufanya muhimili wa Mahakama kuwa huru na kutoingiliwa na mihimili mingine hasa muhimili wa utendaji(serikali).
Lakini kutokana na mparaganyiko mkubwa uliopo hivi sasa lazima Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania itungwe upya.
Australia wale jamaa wameshoot raia beach na wameua na kujeruhi watu, haijapita hata masaa wameshakuwa identified na wamedakwa tayari na
mmoja kauliwa!!
Njoo bongo sasa, wameuliwa raia 2000+ mpaka leo hakuna muuaji hata mmoja aliyekamatwa eti inaundwa tume kuchunguza……..!!! Tume ushu💨
Tuna uongozi wa kiduanzi mno!!
Kombo, sikiliza, siku moja tulitoka dinner na wadogo zetu wawili, Nelson na Mandela. Tukiwa pale kwa msosi wakachukua menu, wakaisoma, wakatabasamu 😏, wakaona jina refu linalovutia sana, Rice & Beef Stroganoff. Wakasema, “Hii lazima iwe bonge la msosi, wakaagiza bila hata kusita.
Baada ya muda waiter akaleta chakula. Nikawaangalia… ghafla nyuso zikakunja 😐😒.
Mmoja akasema, Dada, si ungesema tu kama ni wali nyama? Waka- mind vibaya sana 😂😂. Sasa Kombo, hili ni swali langu ?
👉Wakati unaongea Katibu Mkuu wa UN, ulimuelewa vizuri?
👉 Au na wewe ulikuwa kwenye Beef Stroganoff mode 🤣🤣
Sikutaka Kuliongelea hili ila acha niliongelee.
Siku Dada wa Taifa MANGE Anakuja kutuambia amefunguliwa Kesi na serikali ya Tanzania kwenye mahakama za Bongo kesho yake nilipata ujumbe ambao ukionyesha mimi pia KESI YANGU ipo Mahakama ya Kisutu.
Jana nimeona CHAWA wa serikali wamepewa Kesi hii waivujishe mitandaoni ili kunijengea HOFU mimi binafsi na watu wengine waogope kuendelea na mapambano ya HAKI.
Hii KESI mawakili wangu wa NDANI YA NCHI NA NJE YA NCHI wanaendelea kunipambania kwahiyo sikutaka kuliongelea kabisa. Ila kwasababu wanafosi UNYAMA wa kutrendi acha waende town.
Niwatoe hofu watanzania na WAPIGANIA HAKI kwa lolote litakalotokea kwenye maisha yangu SIJUTII na nitafurahi sana kushtakiwa KISHERIA NA SIO KUTEKWA TENA kama walivyojaribu kwa MIEZI 18 Nyuma.
Hili kwangu limenifanya nitembee kifua mbele na kuamini HAKIKA MUNGU alieniokoa MBUGA YA KATAVI kusudi lake nimelitimiza juu ya nchi yangu ya TANZANIA.
Kwenye KUMBU KUMBU ZENU ongezeni na hili kuwa “SATIVA alietekwa na kuponea kufariki kwenye Mbuga ya KATAVI baada ya kupona yote alifunguliwa KESI BADALA YA KUWAKAMATA ALIOWATAJA KAMA WATEKAJI (MAFWELE & JESHI LA POLISI)”
Huu uovu wote TUTAUSHINDA ni suala la MUDA.🙏🏿
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Nani anaweza kuamini serikali dhalimu ya aina hii…
Na kama huaminiki unaweza kumuongoza nani?
Waziri anasema A RPC anasema B!!! Nani muongo nani mkweli? Na unakuaje na serikali ambayo inasema uongo… Kama unasema uongo kwenye mambo tunayoyaona na kiyajua vipi kuhusu mambo muhimu na sensitive ya maisha ya watu.. mambo ambayo hayawezi kuonwa na kila mtu kwa urahisi?
Utawala uliofitinika hauwezi kusimama.
Shame on you.
Wanakaribia kukata moto haya madhulmat alafu wanajipa moyo eti ikifika Januari tutatulia 😀
Sasa posho hizo za kupiga doria kama sungusungu zinaondolewa 🔥
💪🏽🇹🇿 Ndo maana tulisema harakati zetu hazitaisha - this is a marathon not a sprint! Hata hii Disemba tutachangamka!
#D25 #J1 #SamiaMustGo
Well deserved.
Mawakili wengi wamefanya vizuri mwaka huu lakini kaka mkubwa Peter Kibatala mefanya vizuri zaidi.
Ukiachilia mbali utetezi mahakamani, kusimamia kesi na kutoa msaada wa kisheria, pia amewalea Mawakili wengi chini yake na wamekua bora sana katika utetezi wa haki.
X Familia, kelele kwa Buyobe hazitoshi, tuongeze nguvu ya kupaza sauti na kumpigania haki ikatendeke kwake!!
Huyu ni ndungu yetu kabisa!!
Be safe chafu yangu @fbuyobe damu ya Kristo ikakufunike!! Nakuombea🤲